Karibu RENT A MAID cleaning services

Karibu RENT A MAID cleaning services

serious kama hiki ulichokiandika ndicho kinachofanyika.
nazaa tena hadi wafike 10 mweeeehhhh!!
saa hizi hakuna kutapeliwa tena nauli za kuagizia mabinti
Power to You
its authorized
 
ha haa. ni utamaduni uliozoeleka ila kama ni passion yako utafanya vizuri na siku zote changamoto walio wepesi huifanya kuwa fursa.
Follow your dream.
Never give up ndugu yangu life is very serious
I will.
And thanks for encouraging me.
 
Toooba! biashara ya utumwa imerudi. Kumbe ndio nyie mnaowauza mahouse girl na kujipatia fedha zisizo halali. Tena mbaya zaidi mmekuwa mkiwalaghai na kuwatoa nyumba moja na kwenda kuwauza nyumba nyingine. Tumewastukia dawa yenu iko jikoni.

Nina maana kuandika hivi, kuna makampuni yamewaumiza sana watu......
TUMIA AKILI.
Biashara haramu haiwekwi public.

WAITE POLICE
Located at Bugando area plot No. 67, Block Z
Reg No. 416087.
 
Nimechukua Namba zenu, naamini atanifaa mwakani mwanangu kipenzi atakapoanza Nursary school.
Awe mwaminifu maana Niko Single, Ila nimajaribu nayo!!!!
 
Kwani wewe si mwajiriwa?
Acha uzamani.
What is Human Trafficking?
Article 3, paragraph (a) of the Protocol to Prevent, Suppress and Punish Trafficking in Persons defines Trafficking in Persons as the recruitment, transportation, transfer, harbouring or receipt of persons, by means of the threat or use of force or other forms of coercion, of abduction, of fraud, of deception, of the abuse of power or of a position of vulnerability or of the giving or receiving of payments or benefits to achieve the consent of a person having control over another person, for the purpose of exploitation. Exploitation shall include, at a minimum, the exploitation of the prostitution of others or other forms of sexual exploitation, forced labour or services, slavery or practices similar to slavery, servitude or the removal of organs
 
Naona wewe mwenyewe unaandika tu majibu unayo kumbe.
Where is coersion?
Where have we forced some1 to work?
kiufupi fungua link kwenye hii picha chini...

Tatizo hamtaki kuelewa kama kuna aina nyingi za ajira.....
it is under government registration.
Fanya utafiti kabla ya kukimbilia comments.... usijekuwapoteza wenzako.
Naamini JF kuna watu waelewa na wenye status nzuri tu hivyo kuwa makini mkuu.
No research no right to speak.
"I think you are genius b'coz u know that u know nothing"
GOD BLESS YOU
4c1e1e1d7051ffe0cf947eb92c623c99.jpg
 
Nimechukua Namba zenu, naamini atanifaa mwakani mwanangu kipenzi atakapoanza Nursary school.
Awe mwaminifu maana Niko Single, Ila nimajaribu nayo!!!!
KARIBU TUPO OPEN
 
Niliwahi letewa hg from mwanza kafika town chuga anasema hakuambiwa anakuja kulelea watoto. Hapo nshatumia hela mingi hadi anifikie.
 
Inawezekana sana.
Endapo kutakuwa na utofauti mkataba utatulinda.
Karibu 0769321005
mkataba utamlinda vipi msichana anayeishi na mkaka, wawili tu ndani ya nyumba?????

mnatakiwa tu kuwalinda kimazingira mkataba unaingia pale inapobidi.
 
Rent a Maid weka cheti chako cha Usajili na baadhi ya stakabadhi za malipo mbalimbali ili binafsi tujue uhalali wako,maana kuna vitu vingi mbeleni nikishamchukua maid,akiiba,uharibifu mkubwa na kupeana hasara wewe unawajibika vipi?
Ukiambatanisha hvyo vingine!na ukaonesha physical address yenu basi linakuwa jambo zuri kabisa linaloendana na mshahara wa 100,000
 
Aisee katika vitu ambavyo huwa navipinga katika maisha yangu ni Kumchukua binadamu wenzako na kumtumikishakama punda.Hii nimechukia zaidi baada ya kuona hadi wanakodishwa
MDADA WA KAZI.
Punguza majukumu kwa kupata msaidizi wa kazi za ndani kutoka *Rent A Maid Company* MDADA ambaye ana sifa zifuatazo..
Haya mambo ya watumishi wa ndani yanatakiwa yawe formal, ikiwezekana hata mambo ya usajili, kujulikana na kulipwa kama mfanyakazi wa kawaida wa kima cha chini, walipe kodi na kulipwa stahiki zao zote kuanzia NHIF, NSSF n.k.
Tatizo kwetu mambo kama kawaida yako kinyemela sana, pia sioni sababu ya housegirl kulala kwako, maana hiyo nayo ndiyo yasababisha matatizo mengi kama kubakwa, kufanyishwa kazi zaidi ya masaa 10-12 na unyanyasaji, awe anakuja asubuhi sana anaondoka jioni, mchezo umeisha.
Pia tukumbuke, ukitaka housegirl basi uwe na uwezo wa kulipa hivyo, sio 30,000/- kwa mwezi eti kisa analala kwako, anakula, anatumia maji na nini sijuwi. Huna uwezo wewe na mkewo, fanyeni hizo kazi ndani na nje. Hela unayo lipa hivyo..
 
MDADA WA KAZI. Punguza majukumu kwa kupata msaidizi wa kazi za ndani kutoka *Rent A Maid Company* MDADA ambaye ana sifa zifuatazo..
Hizi biashara zipo duniani kote, hasa zilizoendelea, hongereni, ila badilisheni kidogo iwe kampuni kabisa na ma staff wenu wanalipa kodi, nawo walipwe stahiki zote kisheria, wenye uwezo watakuja, wale wa alfu 30 hawawafai kabisa..
Safi...
 
Back
Top Bottom