Karibu RENT A MAID cleaning services

Karibu RENT A MAID cleaning services

HOUSE GIRL/MDADA WA KAZI.
Punguza majukumu kwa kupata msaidizi wa kazi za ndani kutoka *Rent A Maid Company* MDADA ambaye ana sifa zifuatazo..
[emoji815]Umri miaka 18 na kuendelea. (katiba)
[emoji815]Ana mafunzo ya mapishi bora.
[emoji815]Malezi ya watoto (Umri 0-17)
[emoji815]Anaelimu ya kuwasaidia wanao homeworks
[emoji815]Anayoelimu ya mazingira na utunzaji wa bustani nyumbani.
Kwa mshahara wa laki moja (Tshs. 100,000)
Kizuri zaidi ni kwamba unaweza kubadilishiwa endapo hujaridhika na utendaji kazi wake pia mkataba upo ili kulinda uaminifu baina ya mteja na kampuni.
Ahsante na
Karibu tuwasiliane kwa PIGA:0769321005
AU
SMS/WhatsApp 0769321005.

Email:
auctioneertz@gmail.com au
ram.
17601e1386debfb7d8148975f8d8eef9.jpg
tz@yahoo.com

We are Located at Bugando area plot No. 67, Block Z
Reg No. 416087.
 
Mkuu tutumie na picha zao kabisa ili tufanye best choice..kwenye kupunguza hayo majukumu...
 
Rent a Maid weka cheti chako cha Usajili na baadhi ya stakabadhi za malipo mbalimbali ili binafsi tujue uhalali wako,maana kuna vitu vingi mbeleni nikishamchukua maid,akiiba,uharibifu mkubwa na kupeana hasara wewe unawajibika vipi?
Ukiambatanisha hvyo vingine!na ukaonesha physical address yenu basi linakuwa jambo zuri kabisa linaloendana na mshahara wa 100,000
Located at Bugando area plot No. 67, Block Z
Reg No. 416087.
 
Hapo sasa, yaani kwenye matangazo sielewi kwanini hivi vitu muhimu tunavisahau, kuanzia saloon za kike za kiume, madukani, kila sehemu..
RENT A MAID (RAM)
Located at Bugando area plot No. 67, Block Z
Reg No. 416087.
 
Hizi biashara zipo duniani kote, hasa zilizoendelea, hongereni, ila badilisheni kidogo iwe kampuni kabisa na ma staff wenu wanalipa kodi, nawo walipwe stahiki zote kisheria, wenye uwezo watakuja, wale wa alfu 30 hawawafai kabisa..
Safi...
Kila kitu kipo on point mkuu.
Located at Bugando area plot No. 67, Block Z
Reg No. 416087.
 
HOUSE GIRL/MDADA WA KAZI.
Punguza majukumu kwa kupata msaidizi wa kazi za ndani kutoka *Rent A Maid Company* MDADA ambaye ana sifa zifuatazo..
[emoji815]Umri miaka 18 na kuendelea. (katiba)
[emoji815]Ana mafunzo ya mapishi bora.
[emoji815]Malezi ya watoto (Umri 0-17)
[emoji815]Anaelimu ya kuwasaidia wanao homeworks
[emoji815]Anayoelimu ya mazingira na utunzaji wa bustani nyumbani.
Kwa mshahara wa laki moja (Tshs. 100,000)
Kizuri zaidi ni kwamba unaweza kubadilishiwa endapo hujaridhika na utendaji kazi wake pia mkataba upo ili kulinda uaminifu baina ya mteja na kampuni.
Ahsante na
Karibu tuwasiliane kwa PIGA:0769321005
AU
SMS/WhatsApp 0769321005.

Email:
auctioneertz@gmail.com au
ram.
17601e1386debfb7d8148975f8d8eef9.jpg
tz@yahoo.com

We are Located at Bugando area plot No. 67, Block Z
Reg No. 416087.
Ok, tunashukuru kwa huduma, ila hao maid unaosema ni wazunguu? coz logo inajieleza. Yale mafundisho/mahubiri ya NABII TITO nayo mnayazingatia?
 
Ok, tunashukuru kwa huduma, ila hao maid unaosema ni wazunguu? coz logo inajieleza. Yale mafundisho/mahubiri ya NABII TITO nayo mnayazingatia?
ama kweli wengine mnazngua tu.
 
Back
Top Bottom