Karibu RENT A MAID cleaning services

Karibu RENT A MAID cleaning services

Ok, tunashukuru kwa huduma, ila hao maid unaosema ni wazunguu? coz logo inajieleza. Yale mafundisho/mahubiri ya NABII TITO nayo mnayazingatia?

Hahahah mahubiri ya Tito[emoji3][emoji3][emoji3]
 
We manager nadhani wengi wa wafanyakazi wenyu ni victims wa elimu au maisha (kuzalia home etc) sidhan kama kuna mwenye div 1 au 2 ya form 4 au 6 hapo kwenyu. Mi naona kabisa hiyo sio biashara yenye baraka toka kwa M/Mungu, kama ni kipato wache wenyewe wapate watakavyopatana na boss wao.

Am very sorry to all workers working under cult. Your dreams of being wunderkids vanished coz of plutocratic life in Tz, God help these victims one day they shouldnt be source of income to others Amen
 
Aisee katika vitu ambavyo huwa navipinga katika maisha yangu ni Kumchukua binadamu wenzako na kumtumikishakama punda.Hii nimechukia zaidi baada ya kuona hadi wanakodishwa
Kufanya kazi ni kutumikishwa? We hufanyi kazi?
 
Back
Top Bottom