Karibu nyumbani

Nmeungalia huo msosi wa mwanamama wa kinyamwezi aishie pwani daah...

ACHA TU WANAUME TUFE MAPEMA MANA NI ZAIDI MASIMANGO
 
Nmeungalia huo msosi wa mwanamama wa kinyamwezi aishie pwani daah...

ACHA TU WANAUME TUFE MAPEMA MANA NI ZAIDI MASIMANGO

Hapana banaaa....

Vionjo vya mahaba tuu....πŸ€ͺ
 
hao wadudu umeanza kula lini we mnyamwezi?
 
Hapana banaaa....

Vionjo vya mahaba tuu....
mahaba kwa bamia na nyanya chungu kama mapenz yamekwisha si mseme tu jamani kuliko kulishana asidi badala unawiri una dhoofu. Aaaaiyii
 
hao wadudu umeanza kula lini we mnyamwezi?

Tangu siku ile tulipoachana.....

Pale Samaki Samaki, ulipoondoka tuu mie nikaagiza kisinia, nikala hadi wengine nikafungiwa nikawakule nyumbani.
 
mahaba kwa bamia na nyanya chungu kama mapenz yamekwisha si mseme tu jamani kuliko kulishana asidi badala unawiri una dhoofu. Aaaaiyii

Aahahahahahhaaaaa

Ndo zilizotukuza hizo mie na mwandani wangu...

Nikimuandalia hizo tunakuwa tunakumbishia enzi zetu wakati tunaogeshewa nje maana tulikuwa tunakaa nyumba za kota, majirani.

Zina kazi zake hizo, simuandalii bureburee tuu 😜
 
Tangu siku ile tulipoachana.....

Pale Samaki Samaki, ulipoondoka tuu mie nikaagiza kisinia, nikala hadi wengine nikafungiwa nikawakule nyumbani.

mbona haukuniletea sasa!?
 
Ndio maan Corana ikiwafikia inawanyoosha kweri kweri sasa hicho chakula anakula binaadamu akashiba?
 
Umenikumbusha lile fungu kuuuubwa la yule babu kwa 5k tu
 
Ndio maan Corana ikiwafikia inawanyoosha kweri kweri sasa hicho chakula anakula binaadamu akashiba?

Kula Ushibe Ufe

Kula Uridhike Unenepe

Uchaguzi ni wako...πŸ€ͺ.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…