Karibu nikupe ramani moja kati ya hizi kwa bei nafuu

Ramani ya vyumba vitatu

Ramani ya vyumba vnne
 
Attachments

  • 3BDR.PNG
    3BDR.PNG
    33.3 KB · Views: 24
  • 4BDR.PNG
    4BDR.PNG
    28.5 KB · Views: 23
Ramani ya vyumba vitatu

Ramani ya vyumba vnne
Ramani nzuri Ila zina mpangilio mbaya ndani.
Kuta za ndani tu ni nyingi kuliko mzunguko wote wa nje wa nyumba hii inaongeza gharama ya ujenzi wa boma maradufu.
 
Nashukuru Kwa maoni.

But it's all about functionality and high privacy.
 
Ukisema pia Kuta ni nyingi inaondoa dhana ya nyumba yenyewe kuwa Ina Nini na Nini.

Mfano ukuta upi wa ndani hauna kazi?
 
Nashukuru Kwa maoni.

But it's all about functionality and high privacy.
Nyumba ikiwa na kuta nyingi ndani haivutii, lakini pia Mkazi unakuwa Kama uko mahabusu.
Make it simple and aesthetic.
 
Nashukuru Kwa maoni.

But it's all about functionality and high privacy.
Unaweza kupunguza kuta za ndani na bado ikabeba partitions zote muhimu unanzozita.

Mfano hiyo ramani ya 4bedrooms ina unnecessary walls nyingi mno ndani.
 
Hoja ya msingi ni ukuta upi? Na maana ya kuutoa kinatokea nini?

Ukiachana na idea ya open kitchen ambayo si Kila mtu anaipenda.

May be kuwe hakuna privacy .ila sio lazima Kila aliyepo sebuleni ajue unanaingia chumbani au chooni ni design za kizamani .
 
Back
Top Bottom