Weka ya two bedroom zote selfUkiipenda nicheki PM
Weka ya two bedroom zote selfUkiipenda nicheki PM
Mfano hiyo L shaped wall ya kwenye dinning haina sababu yoyote ya kuwepo hapo siyo aesthetic wala uimara wa nyumba.Hoja ya msingi ni ukuta upi? Na maana ya kuutoa kinatokea nini?
Ukiachana na idea ya open kitchen ambayo si Kila mtu anaipenda.
May be kuwe hakuna privacy .ila sio lazima Kila aliyepo sebuleni ajue unanaingia chumbani au chooni ni design za kizamani .