Karibu kwenye love pin code

Karibu kwenye love pin code

Mbuzi Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
348
Reaction score
85
Poleni wadau wa MMU,

Nimeona vema kuanzisha uzi huu ili wewe unaempenda mtu flani humu jukwaani ushushe nondo zako hapa kiroho safi kabisa mweleze hadharani kuonyesha jinsi unavyomkubali si unajua tupo karne ya ukweli na uwazi so we njoo jimwage hapa.

LOVE PIN CODE ni sehemu ya wapendanao wanao taka kuanzisha mausiano thabiti kabisa,hapa ni sehemu ya kuunganisha CODE zenu ili kuweza kufungua milango ya mioyo yenu na kuimalisha mausiano yenu.

Kutokana na maoni ya wasomaji kuhitaji kujua wangapi wapo singo na walio double,hivyo kama hutajali katika komenti yako weka status yako mwisho kama upo single,kama unaona haiko poa potezea tu,

Karibuni na unashauriwa kutoa maoni hapa au PM.

Asanteni na karibu kwenye kipindi changu cha LOVE PIN CODE
 
Ni idea nzuri lakini sijajua kma itatufikisha tutakako kwani kuna watu wanatafuta wachumba na sijawai sikia kama kuna MTU aliefanikiwa
 
Aaah Mbuzi mzee na uzee wote huu ndugu yangu nitautesa bure moyo wangu acha tu kwasasa ubakiwe na kazi moja tu ya kusukuma damu nisije nikanyamaza milele

Hahaahhhaha!mkuu mapenzi hayaangalii umri bana.
Umemwona mzee Mengi?
 
Last edited by a moderator:
Ni idea nzuri lakini sijajua kma itatufikisha tutakako kwani kuna watu wanatafuta wachumba na sijawai sikia kama kuna MTU aliefanikiwa

Nitaifanyia makeke niipeleke kwenye TV show au vipi mkuu?kipindi hakitabamba kweliii?
 
Ni idea nzuri lakini sijajua kma itatufikisha tutakako kwani kuna watu wanatafuta wachumba na sijawai sikia kama kuna MTU aliefanikiwa

Asante mkuu,Nitaifanyia makeke niipeleke kwenye TV show au vipi mkuu?kipindi hakitabamba kweliii?
 
Mkuu kabla ya hii hatua kwanza ungeanzisha registration book..ili tujue walio single na double ni wakina nani..utaweza kumfungukia misschagga..kumbe ameshabebwa zamani na Freeland ikawa utata
 
Last edited by a moderator:
Mbuzi mzee ama kweli...huu uzi.... hehe ndo tuseme umeanza kujua malavidavi uzeeni au? Naona unakula uzee unameza ujana Lol!
 
Back
Top Bottom