Karibu kwenye love pin code

Karibu kwenye love pin code

CC Apologise lady kwa taarifa na kusutwa.

Me too baby. Love you soooo very much.

Mwaa kwa lips za Eshy m.s

CC Apologise lady

Chap chap saaaana, angalia inbox yako.

Nimetia timu kule without kabisa yani.

You are welcome darling. Najuta kuchelewa kukufahamu...:welcome::welcome:

Punguza kelele wewe mzee, ushakuwa mufilisi wewe, unatezi dume wewe, huna hela wewe, hata michepuko imekukimbia wewe, umebaki unanivizia njiani wewe!! namuonea huruma bidada tu maana mafao yote nimeyamaliza mimi.
 
CC Eshy m.s kwa majibu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom