Eti mkuuu..yeye kama kapata atulie kimya tu..au vipi mkuu
hapana mkuu, mimi na huyo jamaa ni watu toauti,Ndo ujue peterchoka ndo huyohuyo aliyeibuka.... Mambo ya multiple IDs....
Wacha nimuite NasDaz kuja huku kwa mahaba adimu aisee,
Njoo unishushie nondo hapa, pengine code zinaendana.Nimeupenda huu uzi. Sasa ngoja nikajipange kuja kutoa ya moyoni. Endeleeni kufunguka. KE SINGLE
Watu wanatafuta code zao ye analeta mambo ya ajabu....vipi huna hata unae mhusudu humu mkuuNdiyo hivyo asiharibie wengine bhana tutafanya masihara ila tukiwa wapole mbona huu ni ukombozi?
Sure...nimefikiria sana...mke mwema hata hapa anapatikana mkiwa siriaswazo zuri tatizo watanzania wengi bado wanaamini mke bora anapatikana kwenye kwaya
Uzi uko poa sana nauung mkono ...
Asanteee..
Nimeshawahi huko, haya njoo unambie.