Swahilian
JF-Expert Member
- Apr 28, 2009
- 593
- 70
Hujui kuna watu wako Double and they are ready for more trouble..
Uzi mzuri huu...
Naunga mkono hoja..
Hata ikiwa utataja na usipate japo utakuwa umepunguza maumivu..
Last edited by a moderator:
Sijui nianze na wewe.....Mbuzi mzee ama kweli...huu uzi.... hehe ndo tuseme umeanza kujua malavidavi uzeeni au? Naona unakula uzee unameza ujana Lol!
Hujui kuna watu wako Double and they are ready for more trouble..
Uzi mzuri huu...
Naunga mkono hoja..
Hata ikiwa utataja na usipate japo utakuwa umepunguza maumivu..
hahahha!!! mkuu naona umetiririka kwa vina..basi sawaHujui kuna watu wako Double and they are ready for more trouble..
Uzi mzuri huu...
Naunga mkono hoja..
Hata ikiwa utataja na usipate japo utakuwa umepunguza maumivu..
Dah....unaweza kufunguka kumbe unamfungukia dume mwenzio....
Dah....unaweza kufunguka kumbe unamfungukia dume mwenzio....
Nipo single harafu ni ME sasa.
Hahahahaha!nouma sanaaaa....safi umeleta kitu kpya
Ili iweje I.e unapromote nini?
Umeona eee!