Karibu kwenye love pin code

Karibu kwenye love pin code

sumbai njoo huku mwenzio nimekuzimia siku nyingi njoo nikupe yangu ya moyoni
 
Last edited by a moderator:
Yan nimfungukie hadharani?? Aaah wapi nitamwendea PM
 
OOT ......

samahani mkuu Invisible kwa usumbufu..........najua unatizama taarifa ya habari saa hii.......
lakini.......hii imekuwaje ikatokea nimemquote huyu........wakati hata kwenye hii thread hayupo.........?......
mimi niliona nimemquote peterchoka...........what happened...........?.......

Ndo ujue peterchoka ndo huyohuyo aliyeibuka.... Mambo ya multiple IDs....
 
Last edited by a moderator:
Tema madini hata kama hayupo watu watamtafuta......code yangu bado cjaipata hapa
 
Jamani jamani itakuwaje kama kuna mitala humu, mleta uzi nipe helment nivae kwanza.
 
Back
Top Bottom