Mafunzo ya Udereva
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 620
- 924
- Thread starter
- #21
Karibuni sana
Sasa kama mkufunzi mwenyewe unaandika Reseni badala ya Leseni si unatutia mashaka sisi wanafunziLeo , nimewaletea fursa hii adimu na inayoweza badilisha maisha ya kijana yeyote.
Kwa vijana ambao mpo chuo , ambao mmemaliza chuo, na ambao mna ndoto za kuja kuwa madereva bora wa Leo na kesho.
Udereva ndo fani Pekee ambayo inawapa vijana fursa endelevu.
Hivyo, sisi kama , Essence Driving School
Tunapatikana , Mabibo karibu kabisa na chuo cha NIT geti la mbele
Tunatoa mafunzo ya Udereva kwa gari zote , Manual na Automatic.
Ada zetu ni kama zifutavyo.
Wiki nne 250000 gari aina ya manual
Wiki mbili 170000
Gharama ya usajili 5000
Gharama ya learner 20000
Tested fees 6000
Reseni 70000
Kwa Taarifa zaidi tuwasiliane kwa namba zetu zifuatazo
0625085224
Package hii ni sh ngapiAs well (vile vile) tupo na package kwa wale ambao mnamajukumu ya kikazi.
Package hii ni sh ngapi
Veta hawa hapa wana wiki 2 piaAsante Sana kwa kazi nzuri, hata Sisi ambao haujawahi kuendesha inawezekana kwa wiki 4 kweli, mbona ni muda mdogo, VETA zote wataanza na wiki 6
Gharama ya ada yenu kulipa kidogo kwa awamu kidogo inaruhusiwa, cheti mnatoa.