Trustme
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,169
- 349
SUA tunabanduana wenyewe kwa wenyewe! sasa unataka mademu waende nje ya chuo kwani umesikia hakuna wanaume?
Nyie kama mnashindwa kuwabandua mademu zetu hadi msaidiwe, poole! Hapa SUA tunapiga kitabu mkijisikia unawapiga exile wenzako mnakila tunda halafu mnaendelea na kitabu, hakuna muda wa kupoteza! Ukitaka kwenda Kaumba, Mziwanda, Mriti au Chilakale ni wewe tu! Huwakuti mademu zetu huko