Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

Natoa changamoto kwa wahitimu wote wa SUA kwenye convocation council ya mwaka huu wakati wa Graduation waje na hoja ya kubadili jina la chuo kutoka Sokoine University of Agriculture kuja kwenye jina lolote ali mradi neno Sokoine na neno University yabakie. Hicho kitu kinaitwa Agricultue kiwe deleted permanently mpaka kwenye recycle bin.

Dhambi kubwa ya kunyanyapaliwa ma graduate wa SUA ni jina la chuo chao tu wala si uwezo wao wa kufanya mitihani na kupasi kwa viwango vya juu, ninajua uwezo wa maprofesa wao na tafiti mbalimbali kama vile kutumia panya katika kutambua mabomu ya ardhini, kutumia panya katika kutambua vimelea vya ugonjwa wa TB kwenye makohozi. Kimsingi hata malecturer wa vyuo vingine kama Mzumbe wanasoma pale PHD zao mbalimbali. Kinachotakiwa ni kwenda na wakati, wasipotoa hilo neno SUA wataendelea kuwatesa wahitimu wao milele.

Nani anayewanyanyapaa?Ni mwajiri gani anayehitaji agricultural engineer akamchukua mtu wa sociollogy au lawyer??Mbona kuna watu kibao tu street waliosoma hivyo vyuo manavyoviita maarufu??
 
Mkuu unaweza kutoa takwimu Kuhusu graduates wa SUA ambao ni bank tellers? Na wanakuwa bank tellers kwa muda gani??
mbona nawajua wengi tu mkuu wapo nmb na crdb,na wana miaka kibao 2 pale...sasa mtu mwenye shahada yako unaenda kufanya kazi ambayo ilitakiwa ifanywe na dogo aliyehitimu form 4/6 si unaona kabisa hapo ni kwamba m2 kakosa mahali pa kwenda inambidi 2 aridhke na hzo laki 3 za ubank teller.kiukweli sua bado wana safari ndefu sana..
 
Ni mipango mibov tu ya serikali yetu. Nimefanya home economics and human nutrition, wenzetu uganda kila hospital ya wilaya kuna kitengo cha Nutrition . Relief organisations nying zinatumia graduate wa Sua nenda Sudan wapo kibao. Bado NGO zinazojihusisha na Masuala ya HIV.
 
ni-PM nikutumie air ticket uje kula bata Tanga kwa gharama zangu. Nakula bata kwa sasa baada ya ku-graduate SUA course ambayo ni most feared!!
 
ni-PM nikutumie air ticket uje kula bata Tanga kwa gharama zangu. Nakula bata kwa sasa baada ya ku-graduate SUA course ambayo ni most feared!!
kozi gani hyo mkuu,horticulture,udongo,mizizi au kilimo...tanga unafanyia ubank teller kwenye bank gan?
 
Hakuna anayependa kuwa mkulima, wote tunapenda kuwepo ktk maofisi makubwa haswa TRA.
 
ni vigezo gani vilitumika kurank hivyo vyuo? Idadi ya wanataaluma wenye PhD, machapisho ya kitaaluma, etc kwa SUA ni funga kazi. fanya utafiti kidogo utakubaliana nami.
 
ni vigezo gani vilitumika kurank hivyo vyuo? Idadi ya wanataaluma wenye PhD, machapisho ya kitaaluma, etc kwa SUA ni funga kazi. fanya utafiti kidogo utakubaliana nami.
kwa kipi cha maana kilichofanyka sua..
 
kwa kipi cha maana kilichofanyka sua..
bila kuweka siasa, ukihitimu sua uko fit kila idara mfn kujiajiri, kuajiliwa n.k pia sua tunaishi kitanzani zaidi na hadi workers, by the way watu wengi huajiliwa hata kabla ya kuhitimu that means wanahitajika. Conclusion ni kwamb riport nyingi zinaletwa hapa chuoni kwamba madent from sua wanaperform well kazini kuliko chuo chochote, na kama unabisha hudhuria interview uone magraduate wa chuo kipi hupewa first priority kama sio sua.
 
bila kuweka siasa, ukihitimu sua uko fit kila idara mfn kujiajiri, kuajiliwa n.k pia sua tunaishi kitanzani zaidi na hadi workers, by the way watu wengi huajiliwa hata kabla ya kuhitimu that means wanahitajika. Conclusion ni kwamb riport nyingi zinaletwa hapa chuoni kwamba madent from sua wanaperform well kazini kuliko chuo chochote, na kama unabisha hudhuria interview uone magraduate wa chuo kipi hupewa first priority kama sio sua.
hamna k2.
 
Graduates wa SUA wanaajiriwa moja kwa moja na sirikali na angalia hata vipaumbele vya ajira kwa sasa ukiacha Elimu na afya, kilimo/mifugo inafuatia.

Nyie magradute wa ifm and co ndo hamuuziki matokeo yake mnabaki kufanya kazi za kuhesabu hela za watu wengine (Cashiers/bank tellers) kazi ambazo sio professional inaweza kufanywa na mtu yeyote hata form 4 aliyehitimu Secondary ya kata.
 
Ni mipango mibov tu ya serikali yetu. Nimefanya home economics and human nutrition, wenzetu uganda kila hospital ya wilaya kuna kitengo cha Nutrition . Relief organisations nying zinatumia graduate wa Sua nenda Sudan wapo kibao. Bado NGO zinazojihusisha na Masuala ya HIV.

umesoma na mama watoto wangu nini?

Katika mwaka huu mpya wa fedha serikali imetoa waraka kila hospitali ya wilaya na mkoa iajiri Wataalam wa lishe
 
Ngonjera nyingi juu ya sua sielewi zinatoka wapi? Kila chuo kinakozi zake ambazo kimespecialize. Mfano IFM ni mabo ya uhasibu na fedha wakati sua ni mambo ya kilimo.Ukilinganisha umaarufu wa hivi vyuo itakuwa ni kosa kwani inategemea na interest ya watu iko wapi. Wengi wanapenda kazi za kukaa kwenye feni ambazo ndizo zipo huko IFMna vyuo vya aina hiyo. Lakini kwa mtu mwenye interest za programmes za maendeleo na kilimo atapenda sua. Kama ni kuuzika kwa kozi inategemea na aina ya ajira mfano. Mtu anatafuata mtaalamu wa misitu na Mazingira, haiwezekani applicant wa IFM aombe apate halafu wa SUA akoze sidhani. Lakini pia wahitimu wa SUA wanafundishwa kujenga hoja na ndo maana wanaweza kusoma fani mbalimbali za postgraduates na wakafaulu. Dunia ya sasa hivi ni dunia ya diversification na sivinginevyo.
 
karibu coz zote za sua zinaanzia na B Sc na kama unavyojua ungonjwa wa taifa ni Math na Sc. Kwenye jina kama issue ni agriculture Mbona ardhi university now days wanatoa BBA bana!?
 
Sasa wewe umesoma masomo ya kuimba mashairi utaifahamu saa ngapi SUA?

SUA pale ni sayansi kwa kwemnda mbele hivyo watu mliosoma arts hamwezi kuifahamu SUA wala umaarufu wake hamwezi kuufahamu.

Pole sana mkuu!
 
Sasa wewe umesoma masomo ya kuimba mashairi utaifahamu saa ngapi SUA?SUA pale ni sayansi kwa kwemnda mbele hivyo watu mliosoma arts hamwezi kuifahamu SUA wala umaarufu wake hamwezi kuufahamu. Pole sana mkuu!
mbona COET-Udsm,inajulikana na wkt wao nao wanapga sciance,tena sciance ile pure kuliko hyo ya sua ilyochakachuliwa?
 
Wakuu y is it tht mnakiponda chuo che2?b4 u want to analyse somethng lazima uwe na base ya kuanzia sisi 2nashauri kitaalam, mnavisifia vyuo vyenu under wat bases?
¤kuna mtu anadai jina la chuo libadilishwe kwa vigezo vipi?hiyo debate ilishashindikana kitambo na haiwezekani
¤msilete dharau au mnavipa vyuo venu title coz mmesomea mjini ndo kinakua kigezo cha nyinyi kuwa marketable?sisi tuko kimya ha2pondi vyuo venu vikuu vya kata mlivyosoma yet bado mna pride ya kuponda wengine acheni hayo mambo tutajuaje labda hukuja SUA coz hukuwa na sifa au ulikuwa kilaza?muwe serious kama kweli mnataka kulinganisha wekeni vigezo labda mtatushinda intake na uwingi wa madent katika chuo na katika degree program (1:600-1500) per program ila vingine hapana,nawasilisha
 
No researc,no right to speak! Katika vyuo ambavyo wanafunzi wake ni competent ni SUA and they know what they are doing. ma'ke mpaka usurvive 5 or 4yrs pande zile we mkali.anaeipinga sua haijui hata kidogo.big up kwa Wasuasa wote!!
 
Ctetei SUA coz nami ni graduate wa pale but ifike wakati tuone uhalisia sio tu kuleta arguement based on hisia za nafsi,kila chuo kina strength zake na weakness kimfumo,msiangalie tu mapungufu mkaanza kuchonga cc ha2jui kubishana bwana na mda huo hatuna ila km mna vigezo,wekeni ndo 2one kweli kipi chuo kikuu na kipi chuo cha kata,mkiropoka tu mtaishia kuanza kutukanana bure kitu ambacho c busara hata kidogo coz wengine watashindwa kuvumilia vyuo walivyosomea vikipakwa tope. over
 
Back
Top Bottom