Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

Hii post ni ya siku nyingi kidogo, nilipenda kujua , vipi kuhusu vyumba vya kupanga vilivyo karibu na chuo, kama nusu au kilomita moja toka chuoni, vinapatikana kwa bei ipi hasa vya bei ndogo, maana uchumi hausomi, pia kwa mazingira ya vipindi pamoja na location za practical inalazimu kuwa na kausafiri Kama baskeli au pikipiki? Aliye na up-date anisaidie, natapatapa kujua haya kwa maandalizi [emoji1374][emoji1374]
 
sua hamna pa kwenda bana,tusidanganyane,yan unataka kunambia m2 umesomea mizizi uende kuajiriwa bank alafu ulipwe sawa na m2 mwenye profesional yake ya banking..haingii akilin kabisa.
SUA Kuna kozi ya Agribusiness na agrieconomy wengi wanaosoma hiyo kozi wanafanya kazi bank.
 
SUA is redundant university! Wanafunzi wanakwenda kusoma kule kama kutimiza wajibu baada ya kumaliza masomo ya Form Six. Hatimaye wakishamaliza waakuta kuwa hayo waliyosoma hayahitajiki kwenye jamii hii ya Ki-Tanzania, na hali hii inapelekea watafute ajira za cheap labour kwenye kazi za fani za biashara.

Mimi sioni mchango wao uko wapi hao munaowaita maprofesa wa SUA wakati nchi iliyojaaliwa ardhi nzuri yenye rutuba kama hii bado sehemu mbalimbali za nchi watu wanakufa kwa njaa kwa sababu ya ukosefu wa chakula. Unaweza kufanya tafiti ya 'Namna Vipepeo wanavyopeana mimba na Kuzaa kwa kutumia vumbivumbi la majani ya kijani" then SUA watakupa PhD lakini utaisaidia vipi nchi hii iondokane na janga lanjaa kwa kutumia tafiti hiyo? Naona watu wanashabikia idadi ya PhD na Maprofesa waliopo SUA lakini wanasahau kuwa wanaofanyakazi huko vijijini ni wahitimu wa ngazi za vyeti katika vyuo vya Uyole, Mpwapwa, Ukiriguru. PhD haina maana kama huwezi kuifanyia vitu ambavyo ni tangible.

Kama degree za SUA ni marketable basi tungewaona wahitimu wao wakijikita katika maeneo yanayoendana na fani zao? Wale Maprofesa wa SUA wako selfish kwani walipaswa waishauri Serikali ibadili jina kutoka Sokoine University of Agriculture na kuwa 'SOKOINE UNIVERSITY" ili chuo kifundishe Agriculture kama kilimo, na kifungue macho kwa kozi zingine ile kiongeze soko kwa wahitimu wake. Mimi nikiwa mwajiri lazima nitampa graduate wa SUA raqw deal katika same position na graduate wa UDSM, IFM au Mzumbe wanapo qualify kufanya kazi kama credit officers kwenye bank
Poor argument, you don't have premises, hence no conclusion. Your argument is not logical. In short it is fallacy of irrelevant.
 
Daah nusura niliwe kichwa pale sio poa

Shule iko pale


Bila kusahau wikiend nanunua Malaya mitaa ya samaki samaki nalala nae kuamkia wikiend
 
Vijana inaonekana na chuki sana na Mzumbe na UDSM.

Hebu fikiria Udsm au Mzumbe bila Division 1 au 2 huendi, ila SUA wamejaza div4 na div 3 wengi.

Inshort SUA wanafunzi wake wengi wamekata tamaa na maisha baada ya kusoma kwa sifa comb za sayansi Advance na kuambulia matokeo machafu, so SUA ni kalakana la kuwalea vijana wa aina hiyo.
Acha uwongo
 
Back
Top Bottom