Blessingme
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 250
- 52
hamna kitu hapa cheap labour kwa maana gani? Tangazo linatoka let say kazi ya loan officer, inapigwa interview mtu wa sua ana qualify kwa post, cheap labour ikoje, cjakuelewambona jibu rahis 2,graduate weng wa sua ni cheap labour,kwa hyo waajiri wengi wanapenda kuwa2mia kwa sababu wanawalipa kidogo.