Jerry Jerry
Member
- Jul 31, 2013
- 40
- 0
Jamani admission letter walisema wanazituma lakini mimi sijapata.je,isipofika naweza kuripoti chuoni bila kuwa nayo?
Jamani admission letter walisema wanazituma lakini mimi sijapata.je,isipofika naweza kuripoti chuoni bila kuwa nayo?
NIT moja ya chuo bora kisicho thaminiwa. ...nenda mkuu utafaidika!
Jamani naombeni mnitumie account namba ya chuo cha NIT ya benki ya NMB
Wakuu salama ?
Naombeni ushauri wenu juu ya Ubora wa chuo cha NIT kitaaluma hasa katika michepuo ya Biashara kwani nataka kuomba nisome Post Graduate Diploma in Procurement and SUPPLY Chain Management katika chuo hicho.
karibuni wadau mnisaidie kimawazo.

Dah utasomaje PgD kwenye taasisi wewe?
Hamis, kuwa na akili usije ukapokonywa hela yako, mrisho mpoto amekwambia mda huu ni wa dijitaliii. Account No. Haiombwi kama hivyo. hata na wakulima wanazo so usije ukapokonywa kula yako. Nenda mwenyewe NIT na waombe wakupe Account Number yao.
TAKE ICT you will UNDERSTAND WHO ARE HACKERS
Dah chuo kama secondary UCENDE madarasa hayana a/c na ule mjengo wa vioo haujaisha izo hostel xaxa dah...km bording za ndanda high xcul
Hivi mtu aliyesoma art combs like HGL,HKL au HGK anaweza kusomea degree ya Logistic and transport Managent Pale N.I.T?
kwa hio watu wAfate majengo ya vyuo na sio elimu
kwa hio watu wAfate majengo ya vyuo na sio elimu