Eti ni kweli hapo kuna kozi ya LOGISTIC AND PROCUREMENT MANAGEMENT? maana kuna mtu kanimbia kachaguliwa hiyo ila kwenye guidbook sikuiona!!
Nimedownload joining instruction lakini cjaona admission letter.inakuaje hapo sasa!
nadhan admission mpaka ufike chuonikweli kaka...ht mie nimedownload hamna admission letter
Mi nataka kujua kuhusu ada kwa first year naskia imepanda mpaka 1200000.Nipo NIT, ---- unaswali niulize
inaitwa logistix and transport management
Nimedownload joining instruction lakini cjaona admission letter.inakuaje hapo sasa!
Mi nataka kujua kuhusu ada kwa first year naskia imepanda mpaka 1200000.
Mi nataka kujua kuhusu ada kwa first year naskia imepanda mpaka 1200000.
Ada ni laki 950000 km ulivyona kwenye TCU guide book mpya, ila kama kuna mabadiliko basi watawatangazia..
Mbona chuo chenu ni kichafu sana kama magofu? yani kimekaa kama soko vile....
Pia kozi gani hapo inato watu wanaouzika?
nakumbuka wakati tunajaza kupitia tcu kwenye selected program iliandika ada 1200000 ingawa guide book waliweka 950000Ada ni laki 950000 km ulivyona kwenye TCU guide book mpya, ila kama kuna mabadiliko basi watawatangazia..