Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Haya haya wale mliokesha Bar rudini makwenuuuuuuuu!!!!!!!! Ila msisahau supu make mning'inio noumer........
 
Hivi ndo kusema hamnioni au???? Kwa vile me mfupi??? hebu kujeni hapa mnipe bia moja au zaidi..... Haya naanza na bepari la kihaya Bishanga, daddy watu8 (daddy nina kiu mbayaaaa) Arushaone (King Mswati hata wewe ni wa kuombwa lol) figganigga ntupie walau kiroba... Erickb52 bosaa leo nigee ofa nimefuliajeeee.. Filipo kamoja tu mtu wangu....

Na wengine wooooote wenye huruma!!!!

Hahah daughter sorry muda huo waagiza nilikua safarini kuja Visiwa vya Karafuu...vipi ulipata kiburudisho cha koo???
 
Last edited by a moderator:
Hahah daughter sorry muda huo waagiza nilikua safarini kuja Visiwa vya Karafuu...vipi ulipata kiburudisho cha koo???

Sijapata Daddy angu... ngoja jioni ntakustua uje unipe walau Konyagi ndogo!!!!!!! :nimekataa
 
charminglady niko lunch time nakula na kandovu pembeni lol kanashuka balaa yan kamenifanya nisitamani kurudi kwa mihangaiko.
Karibu

Ndo natoka kibaruani choka mbaya....... Nakuja kukata kiu saiv.... Hebu waambie hao wahudumu waniandalia ile makitu ya siku zoteeeeeeeeeeeeeee
 
MziziMkavu hebu tokelezea pande hii
Mpitie na FP na moto2012

Shemeji wa mkopo samahan bhan nilikuwa huko REPUBLICA DE MAKONDE LAND, hakuna umeme kwa mwezi sasa, kasimu ka mchina kana zingua, sasa nipo mjini!

Nimeshakribia, dadangu FP sijawasiliana naye kitambo kidogo, ila najua humwezi coz shem wangu orijino anampa tender loving care, ila nimeumia kwa kushindwa kunialika pamoja na my wife Preta.
 
Umekuja na korosho?
Karibu sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom