Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Dah... Mkoloni noumer yan kanibana hata kuja Pub hakuna....

Nani yupo hapaaaaa!?????? Ila vinywaji juu yako..

Hapa story tuuuu
 
Hivi ndo kusema hamnioni au???? Kwa vile me mfupi??? hebu kujeni hapa mnipe bia moja au zaidi..... Haya naanza na bepari la kihaya Bishanga, daddy watu8 (daddy nina kiu mbayaaaa) Arushaone (King Mswati hata wewe ni wa kuombwa lol) figganigga ntupie walau kiroba... Erickb52 bosaa leo nigee ofa nimefuliajeeee.. Filipo kamoja tu mtu wangu....

Na wengine wooooote wenye huruma!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom