Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Kama umeona hizo ni kelele basi naongeza na debe la kunisupport.
Haya . . . kilichokufanya uniite kwenye maongezi yenu ni nini? tena kwa habari nyeusi kama hizo?

Na huyo Erickb52 wako huyo . . . . . ngoja kwanza nimeze tonge langu!

Unatabia mbaya wewe!? Kwanini unaongea wakati wa kula!?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom