Wana JF,
Kwa niaba ya
Bishanga,
The secretary ,
Mr Rocky na bibie
Amyner napenda kuwakaribisha kwenye hii Pub & Restaurant yetu mpya ambayo inawapa fursa kuja kupata vinywaji mbali mbali ukiwa na marafiki na kubadilishana mawazo.
Kwenye hii pub kuna sehemu za maongezi kwa couples,kuna kasehemu ka kudance kwa watakaopandwa na mizuka ya music.
Kwa singles kama
manoah au watalakwa km
nitonye ndio nafasi yenu ya kuja kukutana na single wenzenu. Wazee pia babu
Dark City Asprin na
Mtambuzi mnakaribishwa kupata kahawa na wajukuu au na Bibi zetu.
Kwa wale wakorofi wajue mibaunsa yetu
Mungi Arushaone watu8 Baba V na
Ruttashobolwawatawavunja viuno!
Wapenda wake za watu km
Vin Diesel kuweni macho....msione vyaelea!
Kwa wale wapenda privacy na status kuna VIP lounge huko utakutana na akina
Paw na
King'asti Chimbuvu na
Madame B Fang na watu wa dizain hiyo ila mlangoni utakutana na
Invisible kwa ukaguzi.
Kwa huduma ya haraka kaunta yuko
Lily Flower na
marejesho na wahudumu kwa bar ni
Kongosho na
cacico .Restaurant ni
Arabela sweetlady na
KOKUTONA
Music ni
Slave na
Nicas Mtei
Managers ni
Kipipi na
Filipo
Kwa kuanza hebu
cacico niletee Ndovu moja baridiiiii nianze nayo faster!
Karibuni sana wana JF woote tujumuike pamoja!
Copy kwa
FP amu Paloma Jiwe Linaloishi St. Paka Mweusi Mentor SnowBall Smiling Saint @Ciello
TANMO Judgement Preta KakaKiiza LiverpoolFC Mzee wa Rula Blaki Womani charminglady beibe nasty nivea gfsonwin snowhite Mamndenyi PakaJimmy Katavi Rich woman measkron Mwanyasi AshaDii Young Master YNNAH IGWE Preta Remmy Smile Tonykp mwaJ zumbemkuu Dena Amsi
Elizabeth Dominic