Dr.zero
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 964
- 434
haya bana naona mie hata kwenye uhudumu wa bar sipo,ila naomba nipigiwe jisong la long time linaloitwaaaaaaaaa zuwena
We mtoto sogea pande hii nikupe japo kiroba
haya bana naona mie hata kwenye uhudumu wa bar sipo,ila naomba nipigiwe jisong la long time linaloitwaaaaaaaaa zuwena
zubedayo_mchuzi si ni house boy wa kule home. Kuja pande za huku tuongee mambo ya msingi
come zis wei nikufanyie the nidifuli!
ummu kulthum ulipotelea wapi mdada??asante kwa kiroba najua kitakuwa cha mpunga na kama si mchele make sure that kina rubesa
Kipipi humu watu washalewa hawakawii kukurushia chupa ooooh we mwache Arushaone bhana hajui unavyonipenda ingawa sio km Amyner (Huyu penzi lake balaa lol)Nataka kujua mantiki ya wewe kuambiwa umgee Kipipi . . . . una habari kuwa linakuhusu si kidogo?
Hahahaaa hii si ndio ile ambayo inashibisha zaidi ya dona charminglady ?Hiyo sio mbege wewe... kitu ya TBS aalaaaa!!!!
jaman sio kweli mbona?
Shauli yako, tena tunataka tumfukuze kazi kazidi tabia za udokozi
Sasa Kipipi humu kuna na Restaurant kwanini usihamie kule pande yenye juice?Hujawahi ona mlevi anacharazwa njiti na ulevi wote unaisha?
Shauri zenu . . . kwanza kwa herini na mipombe yenu!
Najivua gamba la umenager mtatafuta mwingine.
Mi ndio naingia leo humu nahitaji any kind of liquor,zipo?
Vodka,whysk etc
jaman. OH MY GOD