Hahaha...haya bhana ila mwenzio akinyolewa....Mi niko Chelsea kaka!
Sina pressure
Sipendagi mpila mie, ila napendaga Fc Barcelona wanavyo igalagazaga Man U hadi ferguron hua anaugua ugonjwa wa kutetemeka
Hivi sio mimi eeeeh?
Sio chibuku
Hahahaa haya bhana ngoja nione mwendelezo wake
Hahahaaa Chimbuvu hapo kazi kubwa ni wanafamilia Amyner na mimi! Bishanga katoa 2% (Sawa na Bure-Aliataka walau kumaintain status yake siunajua wahaya mambo yao) Mr Rocky alinisaidia kuwapa wanangu Gunia la unga kuke Meatu si nikaona na yeye nisimsahau ila yeye ni km 0.00000003% (Samahani km nimekosea ni mambo ya kimahesabu ndio sijui) The secretary huyu ni mtoa wazo coz kwa sasa kafulia sana!
Hahahaaa hayo sio mambo ya kumnyima raha mwambie kama vip aje nimpe ile ya Amyner anayotumia hope ataipenda coz bibie hataki tena gari anataka nimuendeshe kila kona lol
Mapenzi matamu
Achana nae huyu hana lolote kwanza kafulia sana hana jeuri ya kwenda magazetiniTutakaa pembeni tutete maana bepari la kihaya Bishanga hachelewi kuandika ktk magazeti yake mara oohh freemason wahusika,ama ufisadi wanukia mtanzania anunua gari la mabilioni wakati kilaza anatafuta msaada wa mamilioni