Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Presure inapanda na kushuka.. Hamia Barcelona bwana

hahahaha niko huko kwa mkopo mpaka babu asajili au aondoke aje Gadiola

Mkuu Erickb52 tuwekee big screen kwenye pub tuje kuangalizia game hapo na kugonga mokomoko....
ila tatizo langu ni hao wahudumu..... mama jiwe anaweza asitoe gate pass
 
Back
Top Bottom