Rich Woman
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 867
- 558
Atashuka baada ya ukaguzi
Yani wewe nakusaka kwelikweli ulichonifanyia jana Filipo kasema niende kwake ye ni fasta tu...baada ya hapo ntasababisha Arushaone na Tonykp washuke town hapa
Atashuka baada ya ukaguzi
Anakutaka
Njoo kunta ya juu ukutane na C6 namuona yuko na kadada
Sio mbege hii?
Yani wewe nakusaka kwelikweli ulichonifanyia jana Filipo kasema niende kwake ye ni fasta tu...baada ya hapo ntasababisha Arushaone na Tonykp washuke town hapa
Hiyo sio mbege wewe... kitu ya TBS aalaaaa!!!!
Usinifanyie hivyo!!!
Technical na tuko bar
Hakuna haja ya dua kwanza mambo yetu mimi wewe na Amyner atuachie wenyewe.