Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

mi nipo bwana si niligombana na watu kule MMU nikatamani kujitoa
Hahahaaaa niliona ulivyokuwa unalalamika lol
Kule MMU kuna watu vichwa vyao haviko sawa aisee yan wamekaa kishari sana!
Achana nao bhana njoo ukae huku achana na mambo ya mapenzi kwanza mapenzi na story zao zote fake
 
Hhahahah . . . . nashukuru mtego wa swali langu umejibu!
Yaani umegonga mule mule nilipokuwa napasubiria.

Kumbe we ndo huwa unajidai kuwagea wenzio eeh?? (as if you can . . . muone vile!)
Hahahahaaaa Kipipi mi mjanja eeeh lol
Halafu waambie wote wanaokuita Kiperemende waache haraka!

Copy kwa .com
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa niliona ulivyokuwa unalalamika lol
Kule MMU kuna watu vichwa vyao haviko sawa aisee yan wamekaa kishari sana!
Achana nao bhana njoo ukae huku achana na mambo ya mapenzi kwanza mapenzi na story zao zote fake

hahaaaaa kumbe unawaonaga eeeh!nisharudi matimila
 
Back
Top Bottom