Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Banana
Kwani we unakunywa nini?
Kwani we unakunywa nini?
Yuko busy kule VIP anaangalia mpira na mwanae charminglady na mkewe measkron
Jamani hivi nyie hapa PUB ndio hamuangalii mpira au ????
Mbona hamsemi kuwa hao "LOSERPOOL" tushawachapa goli moja...
Heheheheee Arushaone kakuzunguka
Sukari ndio umuite kimahaba?
Ar u Sure?
Mbona bado namuona kule VIP na Chimbuvu ?