Wilo12
JF-Expert Member
- Oct 17, 2018
- 287
- 423
ukiipiga bangi mochwari nini kitatokeaa??Hiyo kitu na mochwari ni hasi na chanya
ukiipiga bangi mochwari nini kitatokeaa??Hiyo kitu na mochwari ni hasi na chanya
Dadavua mkuu anataseka Hadi lini?Anapata mahangaiko na mateso mengi
kwa nini hawa paka wametofautiana rangi ya macho
movie gani hii niitafute
Incarnation ni birth ambapo re-incarnation ni re-birhMr Mshana Jr
Nilikuwa naanglia chanel moja inaitwa discovery science, kipnd kinaitwa 'ALL U NEED TO KNOW ABOUT'..... Nikasikia wanazungumzia mambo mbalimbali including INCARNATION & ZOMBIE
Je unajua nn juu ya yaliyowakilishwa na maneno hayo pa1 na uhalisia wake.............
Asante........
u made mydayNdio lakini sio na mfu
Asante kwa majib......Incarnation ni birth ambapo re-incarnation ni re-birh
Zombie ni viumbe nusu watu, nusu wanyama
Yes lakini hana ufahamu kuwa yu mfu... Anajikuta tu hawezi kufanya mawasiliano ya kawaida na watu wake
Sawa inaweza ikakutuma ñn Mfano? Au utaziona maiti Kama watu wapo disco?Inategemea itakutuma nini
Ukiwaangalia machoni watakuwaje??Hapo ndio penye hoja... Kuna wakati tunawaona ni paka kumbe si paka halisi na utawagundua kwa kuwaangalia machoni
Sitajaribu Hata..uzi wa Kuhusu kura halali na haramu za mazombie unaitwaje Nataka nisomeNakushauri jaribu utapata majibu mengi