Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

.
6c349fc51fbfc5cb44f8e62d90280c87.jpg
ea9115f6cf57017df3cd4718aebd4250.jpg
kwa nini hawa paka wametofautiana rangi ya macho
 
Mr Mshana Jr

Nilikuwa naanglia chanel moja inaitwa discovery science, kipnd kinaitwa 'ALL U NEED TO KNOW ABOUT'..... Nikasikia wanazungumzia mambo mbalimbali including INCARNATION & ZOMBIE

Je unajua nn juu ya yaliyowakilishwa na maneno hayo pa1 na uhalisia wake.............

Asante........
 
Mr Mshana Jr

Nilikuwa naanglia chanel moja inaitwa discovery science, kipnd kinaitwa 'ALL U NEED TO KNOW ABOUT'..... Nikasikia wanazungumzia mambo mbalimbali including INCARNATION & ZOMBIE

Je unajua nn juu ya yaliyowakilishwa na maneno hayo pa1 na uhalisia wake.............

Asante........
Incarnation ni birth ambapo re-incarnation ni re-birh
Zombie ni viumbe nusu watu, nusu wanyama
 
Incarnation ni birth ambapo re-incarnation ni re-birh
Zombie ni viumbe nusu watu, nusu wanyama
Asante kwa majib......

Lengo langu ilikuwa ni kutumia neno Reincarnation....... Ktk hcho kipnd walikuwa wakijibi na kuthibitisha tisha kuwa mtu akifa kwa iman ya watu baadhi roho yako inaingia ktk mwil mwngine au unazaliwa upya ktk mwil mwingine, sehem nyingine kabsa hapa dunian.....

Kutoa ushuhuda ktk hlo walimpata mtoto aliyekuwa akisimulia kumbukumbu zake za nyuma kuwa alikuwa mwanajesh akapgwa risas na kufa, pia alikuwa akionesha makov yake ya risas iliyomuua akiwa mwanajeshi sehem nyingine ambayo si pale anaishi na wazaz wake. Na uchunguzi ulianza juu ya hlo baada ya mtoto kuwa anawakataa wazaz wake kuwa si wazaz wake............. Cont..... HII IMEKAAJE KWA UJUZI WAKO??!!

Mwingine akilikuwa anatoa ushuhuda kuwa yy ni zombie mana alizikwa kabsaa baadae akaja akaonekana mahali...... HILI NALO VP,!??..... ZOMBIE WAPO (EXIST)

Mwisho kabsa walionesha Ghost aliyedakwa na Camera (cctv) likitoka mbio kuptia milango alikuwa umefungwa kabsaa....... Ilikuwa ni kitu na ghafla milango inafunguka na kitu kisichoonekana vzur kutoka.... Na hii ni baada ndani ya nyumba husika kusikika saut na vshindo vya ajabu... Kutaka kujua ni nn kwnda ktk chumba husika ndio saut na vshndo kutoweka kwa ghafla...... Ktk kujua nn kilichokuwepo wakachek kwenye CCT camera na kuona hlo GHOST.........HI NAYO VP mkuu!!!!?
 
je ni kweli kwamba katika msiba watu wakiwa wanalia sana ni ishara kuwa marehemu kafa katika mazingira ya ushirikina(uchawi) tofauti na msiba ambao watu hawalii sana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom