Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

Mshana kuna uhusiano gani wa paka na Hospitali.Tena unakuta paka kama ndama ya mbuzi....Meisu tiii macho makali na vilio vikali hasa nyakati za usiku.Ndio makilio yakianza unasikia wagonjwa wale baadhi macho yangeuka hatimaye mauti...
Mara nyingi huhusishwa na ushirikina na kuwinda roho za wagonjwa
 
Mshana namuota sana marehemu mama yangu hii hutokana na nini? Wengine husema hizo ni roho za wafu hupenda kuendelea kuwafata ndugu zao waliohai hivyo ni kukemea
 
Mshana namuota sana marehemu mama yangu hii hutokana na nini? Wengine husema hizo ni roho za wafu hupenda kuendelea kuwafata ndugu zao waliohai hivyo ni kukemea
Bado roho yake I karibu nawe hasa kama humuoti kwa Ubaya... Tafuta kitu alichokuwa anakipenda sana ukakiweke juu ya kaburi lake na Usiache kumuombea
 
Me sijaelewa hapa kuna dogo tuliuumuza kipind kirefu akakonda akawa mwepesa baadaa ya kufariki mbona alikuwa mzito kuliko alivyokuwa hai?
 
Yes lakini hana ufahamu kuwa yu mfu... Anajikuta tu hawezi kufanya mawasiliano ya kawaida na watu wake
Na wakati wakuzikwa anaona kabisa anawekwaa shimoni sasa Kama hawez kuwasiliana na watu wake haimletei kihoro ofu maanaa unaona unafukiwa njemba zinatupiamo beleshi hapo hasanuki Kama ndo habari imeishaa? Na baada ya kuzikwa nini inafuata? Kwamba anaonaa wadudu wanavyoanza mtifua?
 
Me sijaelewa hapa kuna dogo tuliuumuza kipind kirefu akakonda akawa mwepesa baadaa ya kufariki mbona alikuwa mzito kuliko alivyokuwa hai?
Yeah ni sawa tu na gari likiwa linanguruma ni rahisi kusukuma kuliko likiwa limezimwa.... Mwili hujibeba kabla ya kubebwa, hivyo roho inapachana na mwili uzito huongezeka kwakuwa mwili haujibebi tena
 
Na wakati wakuzikwa anaona kabisa anawekwaa shimoni sasa Kama hawez kuwasiliana na watu wake haimletei kihoro ofu maanaa unaona unafukiwa njemba zinatupiamo beleshi hapo hasanuki Kama ndo habari imeishaa? Na baada ya kuzikwa nini inafuata? Kwamba anaonaa wadudu wanavyoanza mtifua?
Kipindi hicho roho/ufahamu wake huwa pembeni ukiona kila kitu lakini hauwezi kufanya lolote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom