Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

Mkuu pale wanaajiliwa wakiwa timamu kabisa ila mazingira ya kazi ndio yanayo wabadilisha.
Mfano tanesco ata ukienda mtakatifu vip ila ukiwa kitengo cha kupandisha mistimu au nguzo za umeme lazima upige makelele ili kupata molali ya kunyanyua ile nguzo.
Umesahau USALAMA WA TAIFA na wanajeshi wa kawaida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom