Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,447
hIVI kwa mfano
Mara nyingi huhusishwa na ushirikina na kuwinda roho za wagonjwaMshana kuna uhusiano gani wa paka na Hospitali.Tena unakuta paka kama ndama ya mbuzi....Meisu tiii macho makali na vilio vikali hasa nyakati za usiku.Ndio makilio yakianza unasikia wagonjwa wale baadhi macho yangeuka hatimaye mauti...
Bado roho yake I karibu nawe hasa kama humuoti kwa Ubaya... Tafuta kitu alichokuwa anakipenda sana ukakiweke juu ya kaburi lake na Usiache kumuombeaMshana namuota sana marehemu mama yangu hii hutokana na nini? Wengine husema hizo ni roho za wafu hupenda kuendelea kuwafata ndugu zao waliohai hivyo ni kukemea
Vinapoteajeee sasaa kimazingiraa au vinachukuliwa? Na mtu utajuaje Kama mwili umetolewa kiungoKaribuni bado napokea na kujibu maswali yenu... Hata yale yanayohusu viungo vinavyopotea mochwari
Kama hakuna backup huwa kasheshe... Kuna marehemu macho yao hutoa mwanga
Kivip brazaa fafanua kidogo. Maanaa inasemekanaga usingizi ninusu ya kifo sasa mtu ukiwa usingizin huskii chochote sasaa ukishaded sindo unakuwa hamnaa kitu kabisaNi kweli kabisa
Wafu wala hawajui kama wamekufa
Na wakati wakuzikwa anaona kabisa anawekwaa shimoni sasa Kama hawez kuwasiliana na watu wake haimletei kihoro ofu maanaa unaona unafukiwa njemba zinatupiamo beleshi hapo hasanuki Kama ndo habari imeishaa? Na baada ya kuzikwa nini inafuata? Kwamba anaonaa wadudu wanavyoanza mtifua?Yes lakini hana ufahamu kuwa yu mfu... Anajikuta tu hawezi kufanya mawasiliano ya kawaida na watu wake
Hapana ni ngumu na havifanani
Yeah ni sawa tu na gari likiwa linanguruma ni rahisi kusukuma kuliko likiwa limezimwa.... Mwili hujibeba kabla ya kubebwa, hivyo roho inapachana na mwili uzito huongezeka kwakuwa mwili haujibebi tenaMe sijaelewa hapa kuna dogo tuliuumuza kipind kirefu akakonda akawa mwepesa baadaa ya kufariki mbona alikuwa mzito kuliko alivyokuwa hai?
Kipindi hicho roho/ufahamu wake huwa pembeni ukiona kila kitu lakini hauwezi kufanya loloteNa wakati wakuzikwa anaona kabisa anawekwaa shimoni sasa Kama hawez kuwasiliana na watu wake haimletei kihoro ofu maanaa unaona unafukiwa njemba zinatupiamo beleshi hapo hasanuki Kama ndo habari imeishaa? Na baada ya kuzikwa nini inafuata? Kwamba anaonaa wadudu wanavyoanza mtifua?