Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Safi sana, JK aliwalea waislam wenzake....sasa wanataka kumshika kalio.... Wauawe...
 
Kuna msululu wa vijana wa Mwamunyange unapita hapa mwenge,magari,mabasi yamewekwa pembeni kupisha sijui ndio wanaenda kutia nguvu

Yaani hawa jamaa wa Mwamunyange presence yao tu inatosha. Hii nchi inatawalika ila kuna uzembe fulani umewavimbisha vichwa baadhi ya waislam.
 
Kwani tatizo ninimpaka wapige mabom manake misielewi kunaishu jamani?

Naisi wanapiga mabomu kutisha wananchi na kudhiilisha kua serikali sio dhaifu,as I can see here in Magaomeni wanarusha tu mabomu wakati hamna fujo yoyote from wananchi,na watu wapo kwenye ibada na hakuna maandamano
 
hivi hawa waislamu wakoje?yaani siku ya kutoka kuswali ndo wanakinukisha.Au huko misikitini ndo huwa wanapata munkari na kupandisha mzuka?
 
Nikiwa maeneo ya Magomeni naziona gari nne aina ya roli zenye wanajeshi wa kutosha wakiwa na silaha za kutosha wakielekea mitaa ya Kariakoo/Jangwani.

Kwa upande wa hapa Magomeni, msikiti wa kichangani wametulia baada ya FFU kupiga mabomu ya machozi matatu na gari la kuwasha limepaki katika mlango wa kuingilia msikitini.
 
sijui nitaendaje home, Lol,
nchi haina mwenyewe sasa,
hata akija jirani ataingia tu hapo magogoni na kuchukua kilaini.
 
Simama imara kutetea sadaka ulizotoa wakija hao waabudu majini. Wanadhani sadaka tunazotoa huwa hatutaki kufanyia mambo mengine wao wanakuja kizembe tu kuchoma makanisa.

Pipoooz pawa!!! pipoooz pawa!! pipooz!!.
Pipooz power kumbe ni ya waabudu Majini!!! Nilidhani wana CDM wataungana na waabudu majini kuleta ukombozi wanaoudai kila siku. kumbe ni porojo tuu zakwenye mitandao ya JF !!! uwiiiiiiiiiiiiii!!!!
 
tupo tayari kwa lolote hata mkienda kuchukua jeshi la obama marekani haturudi nyuma tushachoka kufanywa wapangaji wakati nyumba yetu sote
 
Msimbazi na kidongo chekundu ni mapambano askari mmoja naona anavuja damu.
Ndugu yangu Ritz inaonekana huko mbali sana na mitaa hiyo.Waambie hao jamaa kama wameamua kuchoma moto makanisa kwa kitendo cha kuukojolea msahafu na ile filamu ya kumtusi Mtume basi wachome makanisa ya kiyahudi yanayoitwa Sabato.Hawa jamaa ni wachokozi sana.Tangu kuingia haya makanisa imekuwa tabu.Na kama ni kwa suala la kufanyiwa dhulma ndani ya Tanzania kwa kuwekewa vikwazo vya elimu na ajira basi waanze na yale ya wakatoliki.
 
Back
Top Bottom