Pakawapakawa
Senior Member
- Nov 19, 2012
- 110
- 20
Ingawa wengi wetu tunapenda kusikia nini Mhe. Pengo umejadiliana na Bw. Sitta; M/kiti wa Bunge maalum. Kwa mtazamo wangu na ili kuhepuka kukosana na waamini wako, tafadhali mliyoyangea baki nayo Moyoni.
Ninajua fika hakuna lolote la maana tofauti na serikali 2 analotaka kuwashawishi viongozi wetu wa kiimani kukubaliana nao badala ya maoni yetu. Kwa vile CCM wanaeelekea kukwama kupitisha rasmu yao ya katiba, sasa wana angaikika kupata usaidizi toka nje ya Bunge.
Sisi kama watanzania wenye kuitakia nchi yetu mema hatupendi viongozi wa dini mtuyubishe. Kama Sitta na chama chake wamewahaidi kujenga makanisa na misikiti, waache wajenge kwani ni pesa yetu watoa kodi.
Tafadhali Mhe. Pengo Taifa hili linamategemeo na nyie viongozi wa dini na hivyo kutuaminisha kuwa na hisia za viongozi wetu kupokea rushwa. Nifahamike rushwa si kupoke fedha hata kama si ya pesa upendeleo wowote wa ushawishi kwa namna isivyo halali kutaliangamiza Taifa hili. Kumbukeni Yesu hakupokea Rushwa hata siku moja.