Kardinal Pengo, Yako na Sitta baki nayo Moyoni!

Kardinal Pengo, Yako na Sitta baki nayo Moyoni!

Pengo.. Huyu wa kikwete katoka kwa mungu sio
 
serikali 3 ndio mwarobaini .

Surely,its ridiculous,and indeed untolerable to go on with this 'formulation'!!!
To my view the best solution wud have been 'ONE GOVERNMENT' ...but kama one part of th union is not ready for that but still need th union then 3 gvts is unavoidable....tunaweza kujivua ufahamu na kujinafikisha by forcing 2gvts by now lakini, for sure, this will not last another 50yrs!
 
Viongozi wa dini wanashawishiwa na maccm kusaliti maoni ya watanzania walio wengi! Wakiungana na maccm katika dhambi hii haitawaacha salama kamwe!
 
Sitta ukweli kusudio ni kumuona pengo. Lengo la kanisa ni serikali mbili hivo alikwenda kupewa amri.
Ile safari ya upande wa pili kwa simba wa bakwata ni kubabaisha tu.anajua simba ni ccm na bakwata tawi lao
 
Warioba akatafute pa kujificha, Mbinu yake chafu ya kuifuta Tanzania TUMEIFUTA asubiri miaka 50 ijayo. Mwarabu Koko Jussa ajue MAPINDUZI DAIMAAAA!
 
Hivi Kardinali Pengo ni Askofu wa Kanisa Katoliki ninalolifahamu mimi? Kama ni kweli basi inabidi tumu report kwa Baba Mtakatifu Papa Francis II. Katika Historia ya Kanisa katoliki sijawahi kuona/kusoma Kanisa Katoliki liki SIDE na OPPRESSOR.
 
Kwa nini unatanguliza masuala ya serikali mbili kwani sitta alikuambia kuwa anakwenda kuongelea two gvt watu wengine sijui mnawaza nini.
 
Sitta ukweli kusudio ni kumuona pengo. Lengo la kanisa ni serikali mbili hivo alikwenda kupewa amri.
Ile safari ya upande wa pili kwa simba wa bakwata ni kubabaisha tu.anajua simba ni ccm na bakwata tawi lao
Mkuu haya mawazo umeyatoa wapi we mzima kweli kwa nini unawashuhudia wenzako uongo.
 
Mkuu haya mawazo umeyatoa wapi we mzima kweli kwa nini unawashuhudia wenzako uongo.
We ndio hujuwi ndugu ama unajuwa unajitoa akili.
Kama wale makubwa majinga ya kura ya wazi!
Muft simba ccm na bakwata ni ccm waweza kuwa wajua lakini hujuwi
 
Warioba akatafute pa kujificha, Mbinu yake chafu ya kuifuta Tanzania TUMEIFUTA asubiri miaka 50 ijayo. Mwarabu Koko Jussa ajue MAPINDUZI DAIMAAAA!
Kaa utuliye ufikiriye kama ujajigundua una mawazo machafu!
Ila nyani haoni kundule
 
Serikali mbili ndiyo mpango mzima serikali tatu ni mchepuko

Atleast hao wawili sio wanafiki wamejipambanua wazi uumini wao wa serikali mbili. Yu wapi kiongozi wa dini aliyejipambanua kutaka serikali tofauti na mbili Sitta amfuate?
 
Sitta ukweli kusudio ni kumuona pengo. Lengo la kanisa ni serikali mbili hivo alikwenda kupewa amri.
Ile safari ya upande wa pili kwa simba wa bakwata ni kubabaisha tu.anajua simba ni ccm na bakwata tawi lao

Hili la Serikali mbili ni msimamo wa Pengo na Ngalalekumtwa. Sio msimamo wa wakatoliki wote
 
Atleast hao wawili sio wanafiki wamejipambanua wazi uumini wao wa serikali mbili. Yu wapi kiongozi wa dini aliyejipambanua kutaka serikali tofauti na mbili Sitta amfuate?
Josephat Gwajima anataka Tatu, amfuate.
 
muungano ukivunjika barubaru na wenzie wataruhusiwa kutumia JF?
 
Warioba akatafute pa kujificha, Mbinu yake chafu ya kuifuta Tanzania TUMEIFUTA asubiri miaka 50 ijayo. Mwarabu Koko Jussa ajue MAPINDUZI DAIMAAAA!

dada punguza munkari mbona unamtukana jusa? kakukosea nn?
 
akitoka huko aende Makkah na Vatican

akirudi DODOMA ...........ZANZIBAR YENYE MAMLAKA KAMILI JUU YA MEZA KWANZA idadi ya serekali badaeeeeee
Flag_of_Zanzibar_(January-April_1964).svg.pngimages (7).jpg
 
Back
Top Bottom