Kardinal Pengo, Yako na Sitta baki nayo Moyoni!

Kardinal Pengo, Yako na Sitta baki nayo Moyoni!

Mwacheni wetu, hajasema lolote mmeanza kuhofia WHY?

Mna pre-empt ili asiseme kile msichopenda kusikia, kama atakachosema ni tofauti na mawazo yenu najua mtaumia sana.

chuki ya nini , hasira za nini - MSONDO NGOMA .
 
nadhan pengo aachane na siasa afanye kaz ya mungu tuuuu... coz nafaham viongoz wa din wana ushawish saaaan katik jamii lakin matokeo yake huw wanaingia migogoro na viongoz kujifany wao ndo wametumwa na mungu hamna lolote wiz mtupu hii imetokea uganda 20011 baada ya uchaguz mkuu kiongoz mkuu wa wakatolik ameingilia saaana siasa za nchi museveni akataka ku abolish catholic uganda mpka leo kimyaaaaaaa..... 1814 napoleon bornapate in france alimtupa gerezani ..... pop pius wa kumi na sita kwa sabab ya kuacha kaz ya mungu na kuvamia siasa & alipokataa continental system.. kwa hiyo mzee pengo aachane kabisa na siasa mwenzie slaa uzalendo ulimshinda akajivua gamba....
 
Back
Top Bottom