Kardinal Pengo, Yako na Sitta baki nayo Moyoni!

Kardinal Pengo, Yako na Sitta baki nayo Moyoni!

SITTA aache kujisumbua hamna dhamira ya kweli ya kuwa na katiba mpya. kama wametumia siku 40 kujadili kura ya siri au wazi. je wqkijadili Muungano si miezi 6
 
Askofu Mkuu Pengo ni kiongozi mkuu wa dhehebu langu lakini nitakubaliana naye tu katika maswala ya kiimani na sio katika maswala mengine kama hili la muundo wa muungano. kwa muda mrefu Pengo ameheshimika sana kwa misimamo yake lakini hili la muundo wa muungano amekwenda alijojo!
 
....ndipo mtajua unafiki wa Sitta kwenye hili la kukutana na hawa kina Pengo...kama kweli sita alitaka kupata opinion za kidini TZ ..ama kuwapa hli halisi ya kinachojiri bungeni(kama alivyodai)angeongea na makundi yote ya dini...kama CCT na TEC....na si kuongea na watu walioonyesha misimamo yao binafsi(kama Pengo)....huu ni unafiki mwingine wa Sitta....na nitaskitika san kama kina Pengo watanunua unafiki huu.....
 
pengo akikubali kurubuniwa na samweli atadhalilika na kujiaibisha vibaya sana !

mimi wmenyewe pengo alikuwa kiongozi ninaye mkubali sana. Ila akiibuka na hoja ya upande mmoja ya kupendelea c.c.m nitampuuza mara moja. Hatuwezi kupelekwa na mtu eti kwasababu ya imani zetu mbele za bwana!
Eee yesu unilinde!
 
eboo!ina maana ndani ya bunge la katiba hakuna wawakilishi wa imani zetu na maslahi yake?au waliopo hawaaminiki?
Ya KAIZA apewe KAIZA na ya MUNGU apewe MUNGU!
 
blackmailing ina fanya kazi its all about Conspiracy
 
Hamna kitu kama MUUNGANO it is a GHOST. Tujadilili. Ukimsikia Sita anatoa hoja ya kitoto eti kwa nini watu wanahoji uhalali wa muungano baada ya miaka 50? Muungano huu ulihojiwa mara tu ulipotangazwa. Kuna watu wengi walipia gharama kubwa kuhusu hilo. Dourado, Jumbe, Maalim Seif, Kassim Hanga, Issa Shivji (kabla ya April 2014). Eti ndoa ina miaka 50 cheti cha nini? Huyu sita ni mwanasheria halafu anatoa hoja za kijinga kama mtoto wa St.Kayumba.
 
Huenda Pengo ndiye yule "mtu wa mungu" wa Kikwete aliyemsema katika hotuba yake Bungeni, kwamba alimwambia hatuna budi kuendelea na serikali mbili. Ndiyo maana Sita ameanzia kwake, kabla ya kwenda kwa Mufti!
 
Ni kweli Mungno HAKUBALIKI? Nadhani ni serikali mbili au tatu lakini muungano ni wa muhimu!
muungano muhimu kwako peke yako ndugu. binafsi sioni umuhimu wake. hatuwezi nchi kubwa kama Tanganyika kumezwa na kupelekeshwa na kakisiwa kadogo kama ukerewe.... ni upunguani. Yes, kila mtu asambae kivyake...kama wanataka Muungano nchi moja ndio mpango tofauti na hapo mbwembwe tu.
 
mimi wmenyewe pengo alikuwa kiongozi ninaye mkubali sana. Ila akiibuka na hoja ya upande mmoja ya kupendelea c.c.m nitampuuza mara moja. Hatuwezi kupelekwa na mtu eti kwasababu ya imani zetu mbele za bwana!
Eee yesu unilinde!

amina .
 
Mwacheni wetu, hajasema lolote mmeanza kuhofia WHY?

Mna pre-empt ili asiseme kile msichopenda kusikia, kama atakachosema ni tofauti na mawazo yenu najua mtaumia sana.
 
Mwacheni wetu, hajasema lolote mmeanza kuhofia WHY?

Mna pre-empt ili asiseme kile msichopenda kusikia, kama atakachosema ni tofauti na mawazo yenu najua mtaumia sana.Pengo hatishwi.
 
muungano muhimu kwako peke yako ndugu. binafsi sioni umuhimu wake. hatuwezi nchi kubwa kama Tanganyika kumezwa na kupelekeshwa na kakisiwa kadogo kama ukerewe.... ni upunguani. Yes, kila mtu asambae kivyake...kama wanataka Muungano nchi moja ndio mpango tofauti na hapo mbwembwe tu.
Fikiri kwa mapana na marefu na kina zaidi ya hapo. Usifikiri juu yako binafsi tu. Kuna zaidi ya hapo!
 
Naungana na mleta uzi, binafsi mi ni Mkatoliki na kwakweli kuna tume flani ya wanataaluma wakatoliki walishaeleza msimamo wao kuwa ili kuendeleza muungano serikali 3 hazikwepeki. Hivyo ili kuwa salama Pengo ajikalie kimya mchakato uendelee kama rasimu ilivyopendekeza
 
Karidinali pengo tunamshemu sana na tutaendelea kumhemu lkn alishatoa maoni yake kama yake na sio kama kanisa
 
Back
Top Bottom