Kardinal Pengo, Yako na Sitta baki nayo Moyoni!

Mzee sitta amebuggy men! Mfa maji hushika hata unyasi akidhani utamuokoa!
 
Naona TGK wanataka kupata huruma za viongozi wa dini akina Pengo na Bakwata ambao wana msimamo ule ule wa CCM.

Najiuliza kwanini asiende kuonana na kiongozi wa Uamsho Sheikh Farid ambaye hata maoni ya Katiba hiyo hajatoa sababu aliwekwa kizuizini.

Znz kwanza, Mengine baadae. Znz huru ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Hili la Serikali mbili ni msimamo wa Pengo na Ngalalekumtwa. Sio msimamo wa wakatoliki wote

Josephat Gwajima anataka Tatu, amfuate.

Mkuu Communist, tatizo la watanzania tumekuwa makondoo sana. Sasa ona Pengo na wenzake wanavyojaribu kutaka kuwasemea waumini wao kuwa wote wanamsimamo wa kutaka serikali mbili. Utamwona Pengo kwa sababu zake tu anazozijua yeye atatamka, "Msimamo wa kanisa katoliki ni serikali mbili". Lini waliitisha kura ya maoni, lini walikaa na waumini kujua misimamo yao,wanajua wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Ndani ya bunge kuna viongozi wa bunge kwanini akawatafute wengine kue Dar es salaam?
 
Tugawane mbao....naunga mkono hoja...nimechoka na kina Barubaru,pasco....tunawabana mara vije sijui...tugawane kuti niipate TANGANYIKA yangu....ila uwaambie mapemaaa Ami zao pale boma ilala na kule tandika waende fungua viduka kiembe samaki wakauze maamli
KUMBUKA.......
NA AKINA MANGI ITABIDI WARUDI KISHUMUNDU..nje ya muungano hakunaatananyika bali kna sisi wangoni na wao wachaga..
inahitaji akili ndogo tuu kulijua hili, lakni kwa sababu akili hakuna kwenye vichwa vyenu basi katu hatuwashangai.
kama hutaki serikali mbili kama zlivyo sasa..... START PARKING YOUR BAGS
 
It's just scare tactics and you gullible people are falling for it?If some regions want to secede from the Union Republic of Tanzania they will even today under this form of governance,understand that.Whether CCM and some other interest groups like or not we will take our Tanganyika back.
 
Hivi nyinyi wa CUF na CDM ndo mmeshaaminishwa kuwa mtu akizungumzia serikali mbili ni dhambi??? mnataka watu milioni 44 wafikirie kitu kimoja??
 
Poor Sita, badala ya kuongena na wahusika alionao humo bungeni anakimbilia kwa wasiohusika. Hajavunja kanuni kweli?.

Hao wanahusika sana, wana nguvu amabyo hatuioni. Na kati ya hao wawili kuna mmoja mara baada ya rasimu ya pili kukamilika alienda Ikulu kudai kua hataki kusikia kitu kinachoitwa serikali tatu.
 
Ingawa wengi wetu tunapenda kusikia nini Mhe. Pengo umejadiliana na Bw. Sitta; M/kiti wa Bunge maalum. Kwa mtazamo wangu na ili kuhepuka kukosana na waamini wako, tafadhali mliyoyangea baki nayo Moyoni.

Ninajua fika hakuna lolote la maana tofauti na serikali 2 analotaka kuwashawishi viongozi wetu wa kiimani kukubaliana nao badala ya maoni yetu. Kwa vile CCM wanaeelekea kukwama kupitisha rasmu yao ya katiba, sasa wana angaikika kupata usaidizi toka nje ya Bunge.

Sisi kama watanzania wenye kuitakia nchi yetu mema hatupendi viongozi wa dini mtuyubishe. Kama Sitta na chama chake wamewahaidi kujenga makanisa na misikiti, waache wajenge kwani ni pesa yetu watoa kodi.

Tafadhali Mhe. Pengo Taifa hili linamategemeo na nyie viongozi wa dini na hivyo kutuaminisha kuwa na hisia za viongozi wetu kupokea rushwa. Nifahamike rushwa si kupoke fedha hata kama si ya pesa upendeleo wowote wa ushawishi kwa namna isivyo halali kutaliangamiza Taifa hili. Kumbukeni Yesu hakupokea Rushwa hata siku moja.

Angalizo Muhimu ... Waumini wa Kiislam wengi hawamuamini Mufti kwani wanaamini kuwa BAKWATA ni kigango cha Kanisa Katoliki napia ni kati ya Jumuiya za CCM... Tension aliyotuletea Sitta haikuwa na ulazima wowote wakati huu...
 
Hao wanahusika sana, wana nguvu amabyo hatuioni. Na kati ya hao wawili kuna mmoja mara baada ya rasimu ya pili kukamilika alienda Ikulu kudai kua hataki kusikia kitu kinachoitwa serikali tatu.

Of course atakua anataka fikra za 'mwenye heri' zidumu!
 
Ingawa wengi wetu tunapenda kusikia nini Mhe. Pengo umejadiliana na Bw. Sitta; M/kiti wa Bunge maalum. Kwa mtazamo wangu na ili kuhepuka kukosana na waamini wako, tafadhali mliyoyangea baki nayo Moyoni.

Ninajua fika hakuna lolote la maana tofauti na serikali 2 analotaka kuwashawishi viongozi wetu wa kiimani kukubaliana nao badala ya maoni yetu. Kwa vile CCM wanaeelekea kukwama kupitisha rasmu yao ya katiba, sasa wana angaikika kupata usaidizi toka nje ya Bunge.

Sisi kama watanzania wenye kuitakia nchi yetu mema hatupendi viongozi wa dini mtuyubishe. Kama Sitta na chama chake wamewahaidi kujenga makanisa na misikiti, waache wajenge kwani ni pesa yetu watoa kodi.

Tafadhali Mhe. Pengo Taifa hili linamategemeo na nyie viongozi wa dini na hivyo kutuaminisha kuwa na hisia za viongozi wetu kupokea rushwa. Nifahamike rushwa si kupoke fedha hata kama si ya pesa upendeleo wowote wa ushawishi kwa namna isivyo halali kutaliangamiza Taifa hili. Kumbukeni Yesu hakupokea Rushwa hata siku moja.

We ni chizi aliyekuambia kuwa ccm wamekwama kupitisha serikali 2 ni nani?
 
Kama amekubali serikali tatu?!!...ndio hali rushwa?
 
KUMBUKA.......
NA AKINA MANGI ITABIDI WARUDI KISHUMUNDU..nje ya muungano hakunaatananyika bali kna sisi wangoni na wao wachaga..
inahitaji akili ndogo tuu kulijua hili, lakni kwa sababu akili hakuna kwenye vichwa vyenu basi katu hatuwashangai.
kama hutaki serikali mbili kama zlivyo sasa..... START PARKING YOUR BAGS

Kina mangi bado wauza bia tu...hamkumaliza kuchoma bar zote?ndo tunavyotaka na maana halisi ya kugawana mbao...Muungano uso faida na kasha mnatukataza hata kuujadili au kuurekebesha?una faida gani zaidi ya mmoja kudai anang'ang'aniwa na mwengine hafaidiki....Jua Tanzania ni zaidi ya Kikwete,Sefu,CCM,CUF,Chadema nk...Tanganyika kwanza...alafu tukae chini tuongee
 
kosa la sitta liko wap?yy alienda kuyatembelea matawi ya ccm hasa tawi lao tiifu bakwata
 
PENGO AKIKUBALI KURUBUNIWA NA SAMWELI ataDHALILIKA NA KUJIAIBISHA VIBAYA SANA !
 
Kama amekubali serikali tatu?!!...ndio hali rushwa?

hakuna rushwa kwenye serikali 3 maana hivyo ndivyo wanavyotaka wananchi , ukitaka kuthibitisha ugumu wa serikali 2 angalia BAHASHA ZA KHAKI zinavyosambazwa dodoma !
 
Back
Top Bottom