Karanga na hamu ya mapenzi.

Karanga na hamu ya mapenzi.

Ground Zero

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
342
Reaction score
95
Habari za wikendi ndg wanajf. Ninawaomba msaada wanasayansi mliopo humu pamoja na wale wenye subjective experince juu ya karanga hasa mbichi na suala la mapenzi. Je ni kweli kwamba karanga inaongeza hamu au ni dhana tu. Maana huku mitaani kuna mitazamo kwamba mwanaume akinunua karanga basi ujue ana mechi, kwa kiasi fulani soko limeathirika kutokana na hili. Naombeni mnielimishi.
GZ
 
Mbicha kwa maana zisizokaushwa au zisizokaangwa ?????
 
kunywa asali mbichi na mdalasini kama unauliza kijanja na usisahau kuchanganya na maziwa
 
Zinaongeza virutubisho vya shahawa. Kwa hiyo uzalishaji wake unaongezeka. Shahawa zikiongezeka na hamu ya kuzimwaga sehemu nyeti inaongezeka.
 
kunywa asali mbichi na mdalasini kama unauliza kijanja na usisahau kuchanganya na maziwa
Usiogope mkuu,asali na maziwa huku kwetu ni sawa na mnazi!tunakunywa badala ya chai.
 
Nijoavyo karanga zinaongeza kiwango cha uzalishaji wa shahawa.
 
Asali inaongeza nguvu. Hata ukipiz unabaki imara.
 
Habari za wikendi ndg wanajf. Ninawaomba msaada wanasayansi mliopo humu pamoja na wale wenye subjective experince juu ya karanga hasa mbichi na suala la mapenzi. Je ni kweli kwamba karanga inaongeza hamu au ni dhana tu. Maana huku mitaani kuna mitazamo kwamba mwanaume akinunua karanga basi ujue ana mechi, kwa kiasi fulani soko limeathirika kutokana na hili. Naombeni mnielimishi.
GZ

Ni kweli. Karanga zina madini ya kutosha ya zinki ambayo ni muhimu sana katika uongezaji wa nguvu za kiume.
 
heh mi nilidhani mdalasini na asali ni tiba ya magonjwa ya moyo na weight conroller kumbe......
 
mkapime na hormones zenu pia...
kama hormones zako zimevurugika au kupungua
hata ule nini....
 
Habari za wikendi ndg wanajf. Ninawaomba msaada wanasayansi mliopo humu pamoja na wale wenye subjective experince juu ya karanga hasa mbichi na suala la mapenzi. Je ni kweli kwamba karanga inaongeza hamu au ni dhana tu. Maana huku mitaani kuna mitazamo kwamba mwanaume akinunua karanga basi ujue ana mechi, kwa kiasi fulani soko limeathirika kutokana na hili. Naombeni mnielimishi.
GZ

Hakikisha mwili wako unakuwa active muda wote kwa kufanya mazoezi ya mara kwa mara na kula vyakula na kunywa vinywaji vya kukujengea afya yako. Mwili ukiwa legelege, kila kitu kinakuwa legelege pia. Ninachofahamu jamii ya nuts kama karanga inaongeza testosterone. Lakini ni bure kula karanga kuongeza virutubisho vya shahawa na kuwa na hamu ya kufanya mapenzi wakati shahawa zenyewe utazimwaga ndani ya dakika mbili na baada ya hapo huna hamu ya mapenzi tena. Wanawake hawalalamiki kwa wanaume zao kuwa na shahawa chache au kutokuwa na hamu ya mapenzi. Wanalalamika kwa sababu we finish too early.
 
Back
Top Bottom