Karanga na hamu ya mapenzi.

Ground Zero

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
342
Points
0

Ground Zero

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
342 0
Habari za wikendi ndg wanajf. Ninawaomba msaada wanasayansi mliopo humu pamoja na wale wenye subjective experince juu ya karanga hasa mbichi na suala la mapenzi. Je ni kweli kwamba karanga inaongeza hamu au ni dhana tu. Maana huku mitaani kuna mitazamo kwamba mwanaume akinunua karanga basi ujue ana mechi, kwa kiasi fulani soko limeathirika kutokana na hili. Naombeni mnielimishi.
GZ
 
Dumelambegu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
1,052
Points
0

Dumelambegu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
1,052 0
Zinaongeza virutubisho vya shahawa. Kwa hiyo uzalishaji wake unaongezeka. Shahawa zikiongezeka na hamu ya kuzimwaga sehemu nyeti inaongezeka.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
83,867
Points
2,000

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
83,867 2,000
Habari za wikendi ndg wanajf. Ninawaomba msaada wanasayansi mliopo humu pamoja na wale wenye subjective experince juu ya karanga hasa mbichi na suala la mapenzi. Je ni kweli kwamba karanga inaongeza hamu au ni dhana tu. Maana huku mitaani kuna mitazamo kwamba mwanaume akinunua karanga basi ujue ana mechi, kwa kiasi fulani soko limeathirika kutokana na hili. Naombeni mnielimishi.
GZ
Ni kweli. Karanga zina madini ya kutosha ya zinki ambayo ni muhimu sana katika uongezaji wa nguvu za kiume.
 
EMT

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
14,483
Points
2,000

EMT

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2010
14,483 2,000
Habari za wikendi ndg wanajf. Ninawaomba msaada wanasayansi mliopo humu pamoja na wale wenye subjective experince juu ya karanga hasa mbichi na suala la mapenzi. Je ni kweli kwamba karanga inaongeza hamu au ni dhana tu. Maana huku mitaani kuna mitazamo kwamba mwanaume akinunua karanga basi ujue ana mechi, kwa kiasi fulani soko limeathirika kutokana na hili. Naombeni mnielimishi.
GZ
Hakikisha mwili wako unakuwa active muda wote kwa kufanya mazoezi ya mara kwa mara na kula vyakula na kunywa vinywaji vya kukujengea afya yako. Mwili ukiwa legelege, kila kitu kinakuwa legelege pia. Ninachofahamu jamii ya nuts kama karanga inaongeza testosterone. Lakini ni bure kula karanga kuongeza virutubisho vya shahawa na kuwa na hamu ya kufanya mapenzi wakati shahawa zenyewe utazimwaga ndani ya dakika mbili na baada ya hapo huna hamu ya mapenzi tena. Wanawake hawalalamiki kwa wanaume zao kuwa na shahawa chache au kutokuwa na hamu ya mapenzi. Wanalalamika kwa sababu we finish too early.
 
Forum statistics

Threads 1,352,651
Members 518,177
Posts 33,065,288
Top