Dhana potofu kwenye mapenzi

charldzosias

JF-Expert Member
Nov 10, 2013
2,448
3,334
Kuna mambo mengi watu wanayapotosha katika sekta ya mapenzi (afya pamoja na vitendo). Leo ningependa kuzungumzia mitazamo mbalimbali ambayo kiuhalisia si kweli au haina mantiki katika sekta nzima ya kimapenzi.

NB: Nayozungumzia hapa mengi nimeyafanyia utafiti kwa kutumia mwili wangu binafsi na si kwa kufanya tafiti kwa watu. Ni mambo ambayo mie mwenyewe nimejifanyia utafiti.

1. Kufanya mapenzi kwa ufasaha lazima uwe na "Pumzi - Mapafu ya mbwa".

Huwa nashangaa sana neno "Pumzi" linaingiaje hapo? Kwani unakimbia Marathon? watu wengi wasiyokuwa na upeo wa fikra wanabeba tu dhana bila kuchuja na kutathmini. Mapenzi hayahusiani na kuwa na mapafu ya mbwa. Mapenzi ni utimamu wa akili na misuri na si uwezo wa kuvuta na kutoa hewa kama unakimbia Marathoni.

Hivyo neno pumzi linatumika kupanikisha watu sana. Utasikia una pumzi? Utafia kifuani! Unajiuliza sababu za mtu kufia kifuani ni zipi, hali ya kuwa mtu huyo hana matatizo ya kiafya? Naomba nichombeze kidogo, kuna aina mbili za ufanyaji wa tendo ambazo ni "Making Love & Having Sex (Fuc***), ukiwa muumini wa "Making Love" utanielewa namaanisha nini hapo juu, ahsante.

2. Ukila chips, sambusa, pizza huwezi kufanya mapenzi vizuri.
Hoja hii imekaa ki wivu/kinafki/kishamba pia. Kwanini? Tatizo la kufanya mapenzi vizuri linapande nyingi ikiwemo upande wa lishe. Je, lishe ni kula viazi vilivyochemshwa na maziwa mtindi? Si kweli. Lishe inategemea na wewe ulaji wako wa kila siku katika mwili.

Vyakula tajwa vina athari yake sawa na vingine, utofauti ni aina ya mapishi tu na uongezekaji wa vitu (elements) uliovuka mipaka. Mfano mafuta mengi katika vyakula vya kukaanga vinapelekea uzalishwaji wa mafuta ya zaida mwilini, ambayo mafuta hayo yanapelekea kwenda kuziba baadhi ya mishipa katika viungo vya mwili ikiwemo uume, hivyo kushusha mchakato wa uingiaji na utokaji wa damu katika chemba za uume.

Hali inayopelekea tatizo la tendo la ndoa kutofanyika ipasavyo. Hii hoja ipo sahihi ila waathirika wa hili tatizo ni wachache kulinganisha na mzigo wa lawama unaotwishwa kutokana na vyakula hivyo. Unakuta mtu ni kijana, hana kitambi wala presha, ila ana hilo tatizo. Kwa kuwa ni kijana wa Kinondoni basi atahesabika ni mla chipsi na chipsi zishamuharibu.

Ikumbukwe kuna watu wapo vijijini na wanasumbuliwa na haya matatizo hali ya kuwa wanashindia ugali wa mtama kila siku. Binafsi wakati niko chuo, maisha ya kibachela kupika ilikuwa ngumu baadhi ya siku na vyakula tajwa hapo ndiyo ilikuwa ponea yangu na bado kuwakanda nilikuwa nawakanda vizuri tu. Panga pangua, uchakataji wa hali ya juu (maisha ya chuo nafkiri yanaeleweka) na hilo tatizo sikuliona.

3. Kupiga punyeto kunapunguza uwezo wa kufanya tendo kwa ufasaha.
Bila kuweka unafiki, kujichua kunapunguza gharama nyingi (kifedha na kiafya yaani kupata magonjwa n.k). Binafsi nimejichua sana, si chini ya miaka 15 tangu nianze huu mchezo na kwa kweli madhara yanayozungumziwa si ya kweli. Kwanini?

  • Nafanya mapenzi kwa ufanisi, kwenda goli 10 kwa siku ni kawaida (atakayebisha abishe).
  • Kuunganisha magoli kwa mlolongo wa 1-2, 3 , 4-5, 6 , 7 , na kuendelea ikitegemeana na ninayefanya naye anamudu vipi vishindo.
  • Kuchelewa Kifika kileleni, hii inachangiwa na uwezo wa kuunganisha magoli na kumaintain hisia.
  • Kusimamisha uume pale ninapotaka mimi, kuna baadhi ya watu wanatamani uume usimame waendelee na tendo lakini uume hautaki, jambo linaloleta mfadhaiko.

Hayo ni baadhi ya mambo niliyoyafanyia utafiti wa kina na kugundua kuwa kujichua/punyeto haiathiri utendaji kazi wa mfumo wa uzazi wa mwanaume.

Jambo ambalo ningependa kuliweka sawa ni kwamba;

- Kisayansi shahawa zinatengenezwa kwa kila siku na kama utazitoa kwa wingi basi itakulazimu ukae siku 64+ ili shahawa zitakazotengezwa upya ziwe na afya na ubora stahiki (spermatogenesis - Sperm life cycle). Pia kutokana na hoja hii, watu wengi tumeaminishwa kuwa upungufu wa ubora wa manii/shahawa kunapelekea kutowezekana kumpa mwanamke mimba, jambo ambalo limenifikirisha. Kwanini?

- Wazee wetu tumeona wakioa wanawake zaidi ya wanne na wote wanbebeshwa ujauzito, unakuta mzee ana watoto 50+. Je, kama hoja ni idadi ya ufanyaji mapenzi kunapunguza nguvu na idadi ya shahawa iweje hawa wazee wawe na watoto wengi? Kuwa na watoto wengi na wake wengi kuna ashiria kuwa hawa wazee ni wanafanya mapenzi karibu kila siku. Nimeweka neno karibu, hivyo hoja ya kisayansi ya kukaa siku 64+ ndiyo shahawa zinakuwa zimekomaa, kidogo ina ukakasi.

Turudi kwenye mstari,

Kujichua mara kwa mara kunapunguza shahawa na uzito wa shahawa kutokana na kuzitoa mara kwa mara jambo ambalo linaweza tokea hata kwa mtu anayefanya mapenzi mara kwa mara pia. Kitendo cha kupungua wingi na uzito wa shahawa kunapelekea hali fulani isiyo ya kawaida ikiwa huyo mhusika atakutana na mwanamke, atafika kileleni akitoa shahawa za kiwango kidogo au zisizo nzito (hii huwa inanitokea nikiwa nimetoka kujichua halafu ghafla papuchi imetengwa mezani).

Ila nikiwa nimepanga kuwa nitafanya mapenzi siku fulani, basi najizuia kufanya hicho kitendo nikisubiri siku husika ifike nipige mabao mazito na yenye ujazo mithiri ya maziwa mtindi.

HASARA
Ukitoa faida nilizopata, kuna hasara pia za huu mchezo;
  • Uraibu wa huu mchezo (addiction)
  • Kutokuwa mwenye mapenzi sana katika kutongoza (siyo mtu wa kubembeleza sana kuomba "Mchezo", ukikubali haya, ukinizungusha pia poa, yaani silazimishi), siyo mtu wa kulilia mechi kutokana ya kuwa sina haja/kiu kihivyo.

4. Kunywa Kvat/Nyagi unachelewa kufika kileleni.
Vijana tunalishana matango pori sana, unywaji wa pombe tajwa hapo juu sijaona athari yake katika tendo husika. Kwanini? Niliwahi kutana na manzi katika club moja hivi, basi baada ya kunywa huku na huku nikaomba mchezo. Bila kupepesa ombi likakubaliwa (kimasikara) kwa kuwa nilikuwa nimepiga vyombo vikali (Kvant) na yeye pia alikuwa yupo tungi.

Tuliamua kuchukua lodge iliyokaribu. Baada ya mchezo kufanyika asubuhi nilipokea pongezi nyingi, yule dada akagusia kuwa kwa kuwa nilikuwa nimelewa ndiyo maana onesho lilikuwa kabambe. Binafsi mimi si mtu wa kutumia pombe mara kwa mara, basi nikashukuru kwa hongera nilizopata nikaomba mechi irudiwe wiki ijayo.

Kweli hii mechi ya pili tuliingia ulingoni wote tukiwa hatujalewa na baada ya mechi nilipokea mrejesho na akashangaa kuwa mchezo umechezwa kwa kiwango akilinganisha na mwanzo. Nilimjibu kuwa nisipokunywa mambo ndiyo yanakuwa moto, na ni kweli asili yangu ipo hivyo.

Hivyo niliendelea kufanya tafiti za kunywa hizo Spirit na kutokunywa, athari zake zikoje. Nikaja kugundua kuwa ni habari tu za kufikirika na jinsi mtu anavyoweka akili, yake kwamba nikinywa hichi leo nitachelewa kumwaga n.k. Huu utafiti ulienda mbali zaidi hadi katika vinywaji vya nguvu (energy drinks) kama Redbull, sijaona athari chanya kama inavyosemekana.

NINGEPENDA KUTOA USHAURI:

- Tujitahidi Mazoezi: Binafsi nikiwa katika maisha ya ufanyaji mazoezi na nikiwa sipo katika hayo maisha najiona utofauti mkubwa sana tena sana. Mazoezi ndiyo siri kubwa sana kuachilia mbali maswala ya lishe. Fanya mazoezi, utanishukuru.

Pia wale wahanga wa punyeto, mazoezi yanasaidia sana kukata hamu (nyege) zisizo na lazima. Hivyo kama mtu ana uraibu afanye mazoezi, yatasaidia kudhibiti matamanio ya mara kwa mara, nimefanya utafiti Kwa vitendo.

- Jitahidi kuzoesha mwili kufanya mapenzi muda mrefu: Hii nimeona faida yake, tangia naanza hii michezo nilijiwekea utaratibu wa kufanya mapenzi kwa muda mrefu, jambo ambalo hata mwili umezoea pia na akili tayari ishajiweka hivyo.

Binafsi kama muda wa mchezo siwezi kufanya, huwa naghairi. Kitendo cha kupiga bao moja na kulala au mbili unaulemaza mwili na kuhisi hicho ndiyo kiwango stahiki. Jambo ambalo siku unataka uutumie mwili kwa nguvu, mwili nao unakusaliti. Samaki mkunje angali mbichi, mazoea hujenga tabia.

-Jitahidi kuepuka vyakula vya viwandani na matumizi ya madawa ya viwandani.

-Jitahidi uwe na PESA: si lazima uwe na mahela mengi ila basi jitahidi uwe na salio ambalo unaweza fanya jambo fulani, yaani ujiamini kuwa una hela.

-Jitahidi kupata muda wa kupumzika na ujipange kabla ya kuingia katika mchezo: Binafsi huwa najipanga yaani najiweka fiti, napumzika. Hii inaujengea mwili utayari wa mapambano hapo baadae. Ila ukiwa mtu wa kukurupukia mbususu lazima utoe boko katika mechi utakazocheza. Hili tendo linataka utulivu jamani.

Nawasilisha.
GT.
 
Kuna Mambo mengi watu wanayapotosha katika sekta ya Mapenzi (Afya pamoja na Vitendo).

Leo ningependa kuzungumzia mitazamo mbalimbali ambayo kiuhalisia si kweli au haina mantiki katika sekta nzima ya kimapenzi.

NB: Nayozungumzia hapa mengi nimeyafanyia utafiti kwa kutumia mwili wangu binafsi na si kwa kufanya tafiti kwa watu. Ni mambo ambayo mie mwenyewe nimejifanyia utafiti.

1- Kufanya mapenzi kwa ufasaha lazima uwe na 'PUMZI-Mapafu ya Mbwa'.

Huwa nashangaa sana neno "Pumzi" linaingiaje hapo?? kwani unakimbia Marathon? watu wengi wasiokuwa na upeo wa fikra wanabeba tu concepts bila kuchuja na kutathmini.. Mapenzi hayahusiani na kuwa na Mapafu ya Mbwa.. Mapenzi ni utimamu wa akili na misuri na si uwezo wa kuvuta na kutoa hewa kama unakimbia Marathoni.. hivyo neno pumzi linatumika kupanikisha watu sana. utaskia (una pumzi? Utafia kifuani..) unajiuliza sababu za mtu kufia kifuani ni zipi? hali yakuwa mtu huyo hana matatizo ya kiafya..?

Naomba nichombeze kidogo kuna aina mbili za ufanyaji wa tendo (Making Love & Fucking/Having Sex) ukiwa muumini wa 'Making Love' utanielewa namaanisha nini hapo juu... Ahsante.

2- Ukila Chips, sambusa, pizza huwezi kufanya Mapenzi vizuri.
Hoja hii imekaa ki wivu/kinafki/kishamba pia kwanini?.
Tatizo la kufanya mapenzi vizuri linapande nyingi ikiwemo upande wa lishe. je lishe ni kula viazi vilivyochemshwa na maziwa mtindi? si kweli.
lishe inategemea na wewe intake yako ya kila siku katika mwili. vyakula tajwa vina impact yake same as vingine utofauti ni aina ya mapishi tu na uongezekaji wa vitu (elements) zilizovuka mipaka mfano (Mafuta mengi ktk vyakula vya kukaanga vinapelekea uzalishwaji wa mafuta ya zaida mwilini ambayo mafuta hayo yanapelekea kwenda kuziba baadhi ya mishipa ktk viungo vya mwili ikiwemo uume hivyo kushusha process ya uingiaji na utokaji wa damu katika chemba za uume. hali inayopelekea tatizo la tendo la ndoa kutofanyika ipasavyo. hii hoja ipo sahihi ila waathirika wa hili tatizo ni wachache kulinganisha na mzigo wa lawama unaotwishwa kutokana na vyakula hivyo.

unakuta mtu ni kijana , hana kitambi wala presha ila ana hilo tatizo kwa kuwa ni kijana wa kinondoni basi atahesabika ni mla chipsi na chipsi zishamuaharibu.. ikumbukwe kuna watu wapo vijijini na wanasumbuliwa na haya matatizo hali ya kuwa wanashindia ugali wa mtama kila siku.

Binafsi wakati niko Chuo, maisha ya kibachela kupika ilikuwa ngumu baadhi ya siku na vyakula tajwa hapo ndio ilikuwa ponea yangu na bado kuwakanda nilikuwa nawakanda vizuri tu..panga pangua, uchakataji wa hali yajuu (Maisha ya chuo nafkiri yanaeleweka) na hilo tatizo sikuliona.

3- Kupiga Punyeto kunapunguza uwezo wa kufanya tendo kwa ufasaha.

Bila kuweka unafki kujichua kunapunguza gharama nyingi (kifedha na kiafya yaani kupata magonjwa etc) , binafsi nimejichua sana.. Si chini ya miaka 15 tangu nianze huu mchezo na kwa kweli madhara yanayozungumziwa si ya kweli kwanini?

- Nafanya Mapenzi kwa ufanisi; Kwenda goli 10 kwa siku ni kawaida (Atakayebisha abishe).

- Kuunganisha Magoli; kwa sequence ya 1-2, 3 , 4-5, 6 , 7 , na kuendelea ikitegemeana na ninaefanya nae ana mudu vipi vishindo.

- Kuchelewa Kifika kileleni; Hii inachangiwa na uwezo wa kuunganisha magoli na kumaintain hisia.

- Kusimamisha Uume pale ninapotaka mimi; kuna baadhi ya watu wanatamani uume usimame waendelee na tendo lakini uume hautaki, jambo linaloleta mfadhaiko.

Hayo ni baadhi ya mambo niliyoyafanyia utafiti wa kina na kugundua kuwa kujichua/punyeto haiathiri utendaji kazi wa mfumo wa uzazi wa mwanaume.

Jambo ambalo ningependa kuliweka sawa ni kwamba;

- Kisayansi Shahawa zinatengenezwa kwa kila siku na kama utazitoa kwa wingi basi itakulazimu ukae siku 64+ ili shahawa zitakazotengezwa upya ziwe na Afya na Ubora stahiki (spermatogenesis- Sperm life cycle). pia kutokana na hoja hii. watu wengi tumeaminishwa kuwa upungufu wa ubora wa manii/shahawa kunapelekea kutowezekana kumpa mwanamke Mimba. jambo ambalo limenifikirisha kwanini?

- Wazee wetu tumeona wakioa wanawake zaidi ya wanne na wote wanbebeshwa ujauzito / unakuta mzee ana watoto 50+. JE kama hoja ni idadi ya ufanyaji mapenzi kunapunguza nguvu na idadi ya shahawa iweje hawa wazee wawe na watoto wengi? kuwa na watoto wengi na wake wengi kuna ashiria kuwa hawa wazee ni wanafanya mapenzi almost kila siku. nimeweka neno almost.. hivyo hoja ya kisayansi ya kukaa siku 64+ ndio shahawa zinakuwa matured kidogo ina ukakasi.

Turudi kwenye line.

Kujichua mara kwa mara kunapunguza (Shahawa na uzito wa shahawa) kutokana na kuzitoa mara kwa mara jambo ambalo linaweza tokea hata kwa mtu anaefanya mapenzi mara kwa mara pia.

Kitendo cha kupungua wingi na uzito wa shahawa kunapelekea hali fulan isiyo ya kawaida ikiwa huyo mhusika atakutana na mwanamke, atafika kileleni akitoa shahawa za kiwango kidogo au zisizo nzito. (Hii inanitokeaga nikiwa nimetoka kujichua alafu ghafla papuchi imetengwa mezani).

Ila nikiwa nimeplan kuwa nitafanya mapenzi siku flan bas najizuia kufanya hicho kitendo nikisubiri siku husika ifike nipige mabao mazito na yenye ujazo mithiri ya Maziwa mtindi.

HASARA: Ukitoa faida nilizopata, kuna hasara pia za huu mchezo
- Uraibu wa huu mchezo (addiction)

- Kutokuwa romantic sana katika kutongoza ( Sio mtu wa kubembeleza saana kuomba "Game" ukikubali haya.. ukinizungusha pia poa yaani silazimishi ) sio mtu wa kulilia mechi kutokana ya kuwa sina haja/kiu kihivyo.

4- Kunywa Kvat/Nyagi unachelewa kufika kileleni:

Vijana tunalishana matango pori sana, unywaji wa pombe tajwa hapo juu sijaona impact yake katika tendo husika. kwanini?
Niliwahi kutana na Manzi katika club moja hivi, basi baada ya kunywa huku na huku nikaomba game.. bila kupepesa request ikakubaliwa (kimasikhara) kwa kuwa nilikuwa nimepiga vyombo vikali (Kvant) na yeye pia alikuwa yupo tungi tuliamua kuchukua Lodge iliyokaribu. after show kufanyika asubuhi nilipokea compliments nyingi yule Dada akagusia kuwa kwa kuwa nilikuwa nimelewa ndio maana show ilikuwa kabambe.. (Binafsi mimi si mtu wa kutumia pombe mara kwa mara) basi nikashukuru kwa hongera nilizopata nikaomba Mechi irudiwe wiki ijayo. kweli hii mechi ya pili tuliingia ulingoni wote tukiwa hatujalewa na baada ya mechi nilipokea mrejesho na akashangaa kuwa game imechezwa kwa kiwango akilinganisha na mwanzo. (nilimjibu kuwa nisipokunywa Mambo ndio yanakuwa Moto) na ni kweli nature yangu ipo hivyo.

hivyo niliendelea kufanya tafiti za kunywa hizo spirit na kutokunywa impact zake zikoje nikaja kugundua kuwa ni habari tu za kufikirika na jinsi mtu anavyoset akili yake kwamba nikinywa hichi leo nitachelewa kumwaga etc.. huu utafiti ulienda mbali zaidi hadi katika energy drinks kama Redbull sijaona postive impact kama inavyosemekana.

NINGEPENDA KUTOA USHAURI:

- Tujitahidi Mazoezi: Binafsi nikiwa katika maisha ya ufanyaji mazoezi na nikiwa sipo ktk hayo maisha najiona utofauti mkubwa sana tena sana.. mazoezi ndio siri kubwa sana kuachilia mbali maswala ya lishe. fanya mazoezi utanishukuru.

Pia wale wahanga wa PUNYETO mazoezi yanasaidia sana kukata hamu (Nyege) zisizo na lazima.. hivyo kama mtu upo addicted fanya mazoezi yatasaidia ku regulate matamanio ya mara kwa mara.. nimefanya utafiti Kwa vitendo.

- Jitahidi kuzoesha Mwili kufanya Mapenzi muda mrefu: Hii nimeona faida yake, tangia naanza hii michezo nilijiwekea utaratibu wa kufanya mapenzi kwa muda mrefu, jambo ambalo hata mwili umezoea, pia na akili tayar ishajitune hivyo , Binafsi kama GAME ni show time siwezi kufanya huwa naghairi.. kitendo cha kupiga bao moja na kulala au mbili unaulemaza mwili na kuhisi hicho ndio kiwango stahiki.. jambo ambalo siku unataka uutumie mwili kwa nguvu mwili nao unakusaliti. SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI, MAZOEA HUJENGA TABIA.

-Jitahidi kuepuka vyakula vya viwanda na matumizi ya madawa ya viwandani.

-Jitahidi uwe na PESA: si lazima uwe na mahela meengi ila basi jitahidi uwe na balance ambayo unaweza fanya jambo fulani.. yaan ujiamini kuwa una hela.

-Jitahidi kupata muda wa kupumzika na ujipange kabla ya kuingia ktk MCHEZO: Binafsi huwa najipanga yaani najiweka fiti.. napumzika nachill.. hii inaujengea mwili utayari wa mapambano hapo baadae. ila ukiwa mtu wa kukurupukia MBUSUSU lazima utoe boko ktk mechi utakazocheza. hili tendo linataka utulivu jamani.

Nawasilisha.

GT.
Leo ndo nimeelewa maana ya Neno Chizi Maarifa..

-Chpsi zinapunguza uwezo sanaa yani ndo maana wa kulima wakiwa wanaenda shambani wanakula ugali tena mfumu.. na chai yao huwa ni ya mihogo au viazi vitamu ingawa navyo haviokai sana tumboni

-Mapenzi ni saikolojia pia.. hivyo ukifanya nyeto unajiharibu kisaikolojia kuna mawili either ukikutana na mwanamke uwahi kumwaga au usimwage kabisa kutokana na side effect uliyopata

-Pumzi ina matter sana ndo maana wadada wanapenda waenda gym ingawa now days wenye wivu wanazusha maneno kibao kutokana na uvivu wao wa kufanya mazoezi.. kwa kifupi kufanya mazoezi ndio mundende ya asili kwa namna ifuatayo:-
Ili uweze kudindisha machine mda mrefu lazima blood circulation iwe vizuri kwenye mwili wako.. ndo maana watu wengi wenye matatizo ya moyo huwa na tatizo la nguvu za kiume pia.

-Ku make love na fucking hivyo vinategemea sasa na mwanamke anapenda nini ila mimi na prefer kuchanganya vyote at the same time
_ Kvant inakufanya uchelewe kumwaga ndio.. enzi hizo natumia vant nilikuwa nikimkamata Ex kesho lazima asimulie maana nampiga machine kiasi kwamba shingo nzima kesho yake inakuwa imetapakaa love bites tuu sio poa rafiki.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Naungana na wewe kwa uliyoyasema.

Kuna Mama alikuwa na kiduka,siku alikuwa akiniita nikampige mashine nilkuwa nampitia dukan kwake,nikifika ananipatia SHIMHA,tulikuwa tukifika Lodge nilkuwa nampelekea moto hatari nachelewa sana mpaka baadae ilibid aache kunipatia hayo ma SHIMHA
 
Leo ndo nimeelewa maana ya Neno Chizi Maarifa..

-Chpsi zinapunguza uwezo sanaa yani ndo maana wa kulima wakiwa wanaenda shambani wanakula ugali tena mfumu.. na chai yao huwa ni ya mihogo au viazi vitamu ingawa navyo haviokai sana tumboni

-Mapenzi ni saikolojia pia.. hivyo ukifanya nyeto unajiharibu kisaikolojia kuna mawili either ukikutana na mwanamke uwahi kumwaga au usimwage kabisa kutokana na side effect uliyopata

-Pumzi ina matter sana ndo maana wadada wanapenda waenda gym ingawa now days wenye wivu wanazusha maneno kibao kutokana na uvivu wao wa kufanya mazoezi.. kwa kifupi kufanya mazoezi ndio mundende ya asili kwa namna ifuatayo:-
Ili uweze kudindisha machine mda mrefu lazima blood circulation iwe vizuri kwenye mwili wako.. ndo maana watu wengi wenye matatizo ya moyo huwa na tatizo la nguvu za kiume pia.

-Ku make love na fucking hivyo vinategemea sasa na mwanamke anapenda nini ila mimi na prefer kuchanganya vyote at the same time
_ Kvant inakufanya uchelewe kumwaga ndio.. enzi hizo natumia vant nilikuwa nikimkamata Ex kesho lazima asimulie maana nampiga machine kiasi kwamba shingo nzima kesho yake inakuwa imetapakaa love bites tuu sio poa rafiki.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Nilikuwa najipanga kukosoa hiyo point sema umepita mulemule👏👏 jamaa anaelezea jinsi anavyodhani ila yupo nje ya uhalisia hasa kwenye pumzi na kvant ndo kaingia chaka
 
Mkuu utafiti huwa haufanyiki kwenye mwili mmoja tu na kutoa matokeo,mengi uliyoyasema ni sahihi ila kuna baadhi ya mengine uliyoyasema kwa binadamu wengine yapo tofauti mfano k vant wengine inatupatia uwezo zaidi
 
Wanywa pombe au kvant kwa nini wanakuja kusema wakinywa wanachelewa kumwaga ni sababu bia ina punguza hisia. Hisia zinatumwa kwa ubongo kwa kuchelewa
 
Namba 2 nakubali kabisa vyakula wanavyokula wapemba ila ndio wanaongoza kwa kuzaa vyakula vyao soft sana ila kwenye kuzaliana wameshindikana
 
Tunalifanyia kazi.
 
Sitaki kusema napingana moja kwa moja na mtoa mada au naungana nae lakini naamini nitaeleweka.

Tendo la ndoa kwa mwanaume limeundwa na vitu viwili, ( Mind & Muscles ).

Mind, hii inabebwa na vitu kama kujiamini, na jinsi gani unavyolichukulia tendo la ndoa lenyewe, na muda mwingine kiwango cha uhuru na uwazi ulionao kwa mwanamke ambae mnataka kunyanduana.

Mfano mtu ukiwa na pesa, inaongeza kujiamini na inaweza pelekea ukala kitumbua kwa muda mrefu.

Muscles: hapa sasa tunaongelea mfumo mzima wa uume.yaani uwezo wako mzima wa kusimamisha uume na kuongoza uwezo wako wa kukojoa.

Mfano mtu ukiwa na mazoezi, inasaidia ku-regulate pumnzi na misuli yako inakua iko safi so inaweza kupeleka kutembeza show ya hatari.
 
Ndugu yangu mtoa mada una uwezo mkubwa wa kupangilia hoja na kushawishi ila hauna kitu kichwani umeelezea vizuri sana ila ni pumba

Mimi ntakushikilia zaidi kwenye vilevi ambayo vina compromise mfumo wa faham usiwe kwenye hali yake ya kawaida hivo zile hisia unazopata kipindi cha jimai tuassume (threshold level) inakua kidogo kiasi unachelewa kupata mshindo
 
Leo ndo nimeelewa maana ya Neno Chizi Maarifa..

-Chpsi zinapunguza uwezo sanaa yani ndo maana wa kulima wakiwa wanaenda shambani wanakula ugali tena mfumu.. na chai yao huwa ni ya mihogo au viazi vitamu ingawa navyo haviokai sana tumboni

-Mapenzi ni saikolojia pia.. hivyo ukifanya nyeto unajiharibu kisaikolojia kuna mawili either ukikutana na mwanamke uwahi kumwaga au usimwage kabisa kutokana na side effect uliyopata

-Pumzi ina matter sana ndo maana wadada wanapenda waenda gym ingawa now days wenye wivu wanazusha maneno kibao kutokana na uvivu wao wa kufanya mazoezi.. kwa kifupi kufanya mazoezi ndio mundende ya asili kwa namna ifuatayo:-
Ili uweze kudindisha machine mda mrefu lazima blood circulation iwe vizuri kwenye mwili wako.. ndo maana watu wengi wenye matatizo ya moyo huwa na tatizo la nguvu za kiume pia.

-Ku make love na fucking hivyo vinategemea sasa na mwanamke anapenda nini ila mimi na prefer kuchanganya vyote at the same time
_ Kvant inakufanya uchelewe kumwaga ndio.. enzi hizo natumia vant nilikuwa nikimkamata Ex kesho lazima asimulie maana nampiga machine kiasi kwamba shingo nzima kesho yake inakuwa imetapakaa love bites tuu sio poa rafiki.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Mkuu.. ushawahi piga Nyeto? Tuanzie hapo kwanza
 
Nilikuwa najipanga kukosoa hiyo point sema umepita mulemule jamaa anaelezea jinsi anavyodhani ila yupo nje ya uhalisia hasa kwenye pumzi na kvant ndo kaingia chaka
Mkuu Pumzi inahusikaje ktk kufanya Mapenzi.. em nipe Elimu

Nawasilisha.
 
Namba 2 nakubali kabisa vyakula wanavyokula wapemba ila ndio wanaongoza kwa kuzaa vyakula vyao soft sana ila kwenye kuzaliana wameshindikana
Tena kwa Mpigo.. sasa nashangaa watu kuweka Ugali kuwa ndio chakula cha kipekee saana. Ukija kuuchambua huo ugali ni same as vyakul vingine.. ambavyo ni vya kishua. Utofauti ni upikaji
 
Back
Top Bottom