Karanga na hamu ya mapenzi.

TB nimewapata maana watu wanakimbilia karanga sijui supu ya pweza wakati hawana mazoezi wanakula kula ovyo
 
Habari za wikendi ndg wanajf. Ninawaomba msaada wanasayansi mliopo humu pamoja na wale wenye subjective experince juu ya karanga hasa mbichi na suala la mapenzi. Je ni kweli kwamba karanga inaongeza hamu au ni dhana tu. Maana huku mitaani kuna mitazamo kwamba mwanaume akinunua karanga basi ujue ana mechi, kwa kiasi fulani soko limeathirika kutokana na hili. Naombeni mnielimishi.
GZ
Pole sana Ground Zero, Vipi gari lako limeshakuwa la kusukuma hadi unaanza kutafuta nyenzo? Mimi nilidhani hilo jina ni ID tu ya JF, kuna tafsri yake ni kwamba kwenye kwenye mashine umeshakuwa Ground Zero? Pole sana ndugu
 
Back
Top Bottom