The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Tunaendelea kuwanyoa hadi bungeni
Chadema kamnyoa ccm bila huruma karagwe ni deusdedit wa chadema tuuuuu
mimi nakuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuufa nipe rubisi
UKITAKA KUAMINI AMINI KAMA HUTAKI ACHA ILA HUTAZUIA sherehe maana ZINAENDELEA
SOURCE: WADOGO ZANGU WAPO ENEO LA TUKIO KAYANGA KARAGWE NA SHEREHE INAENDELEA
Wana Jamvi
Niko jimboni Karagwe kama mwangalizi wa Uchaguzi (TEMCO).
Hivi sasa kikosi cha FFU kutoka Bukoba kimeingia na kuanza kurusha mabomu ya machozi mengi.
Kuna watu wapatao kama elfu kumi wamezingira ofisi ya tume wakidai itangaze matokeo ya ubunge.
Mabomu yameisha na sasa polisi wanatumia risasi za moto hewani. Watu wameumizwa na wengine wanakimbizwa hopsitalini.
Kuna tetesi kuwa Mgombea wa Chadema DEUSDEDITH JOVIN KAHANGWA amemshinda BLANDES GOSBERT wa CCM, lakini wakubwa wanakataa asitangazwe, bali Blandes ndiye atangazwe. Msimamizi wa Uchaguzi amejitahidi kukataa pressure kutoka kwa wakubwa lakini yaelekea sasa ananyonya mikono ili atangaze ushindi bandia kwa CCM. Hapahitajiki mabomu kumtangaza mgombea Chadema hapa maana maelefu ya watu wamekodi mafuso kuja kumlaki mbunge wao waliyemchagua.
Jengo la halmashauri shinyanga limechomwa moto!