Elections 2010 Karagwe: Matokeo kutangazwa?

Jamanieee, kuna mtu kule Karagwe. nilimpipigia saa saba akaniambia matokeo yalikuwa bado na akadokeza kuwa mgombe wa CCM alikuwa ameshinda japo walikuwa wanasubiri official announcement. Imenikera sana.
 
Back
Top Bottom