Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,439
- 24,683
Tatizo chadema ishaji save kwenye akili yako. umeona nimesema maandamano ya chadema hapo?Kwahiyo unataka kutuaminisha yatakuwa ni maandamano ya chadema
Tatizo chadema ishaji save kwenye akili yako. umeona nimesema maandamano ya chadema hapo?Kwahiyo unataka kutuaminisha yatakuwa ni maandamano ya chadema
Hakuna atakae serikali ipinduliwe na jeshi...Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.
Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.
Watanzania nawajua vizuri mno.
Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia wengine.
Wote ni makondoo tu. Nyumbu pia wapo.
Kwa aina ya wananchi waliopo hivi sasa, hakuna mtu atayethubutu kuipindua serikali ya CCM.
Kuandamana tu kunawashinda. Kugoma kupiga kura nako kunawashinda.
Mapinduzi ndo mtayaweza nyinyi?
Baada ya kufanya utafiti wangu mwenyewe, nimehitimisha kuwa Jana mmejazwa tu upepo na sasa mmeanza kuutoa kama gesi ya tumboni.
Mmepata furaha na faraja ya muda mfupi and now it’s back to life, back to reality.
Happy Sunday ✌️.
Kwa upeo wangu, Maandamano yapo, Ari na nia ipo, bila jeshi pia inawezekana. Je unakumbuka 2015? Msimu wa kifo cha akwilina.. vituo vingapi vya polisi vilichomwa? Misafara ilipigwa mawe, maandamano kila kukicha, kama sio Magu ulikua ni mwisho wa utawala wa chama.Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.
Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.
Watanzania nawajua vizuri mno.
Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia wengine.
Wote ni makondoo tu. Nyumbu pia wapo.
Kwa aina ya wananchi waliopo hivi sasa, hakuna mtu atayethubutu kuipindua serikali ya CCM.
Kuandamana tu kunawashinda. Kugoma kupiga kura nako kunawashinda.
Mapinduzi ndo mtayaweza nyinyi?
Baada ya kufanya utafiti wangu mwenyewe, nimehitimisha kuwa Jana mmejazwa tu upepo na sasa mmeanza kuutoa kama gesi ya tumboni.
Mmepata furaha na faraja ya muda mfupi and now it’s back to life, back to reality.
Happy Sunday ✌️.
Mkuu mabadiliko huwa hayaji kwa ghafla, Kila kitu huwa kinakuwa taratibu, ndio mana hata watoto walioitwa wa 2000 kwa sasa wanaitwa wazee, usimdharau mtu kwa kuwa jana ulimuona anaogopa, TUJIPE MUDAWote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.
Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.
Watanzania nawajua vizuri mno.
Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia wengine.
Wote ni makondoo tu. Nyumbu pia wapo.
Kwa aina ya wananchi waliopo hivi sasa, hakuna mtu atayethubutu kuipindua serikali ya CCM.
Kuandamana tu kunawashinda. Kugoma kupiga kura nako kunawashinda.
Mapinduzi ndo mtayaweza nyinyi?
Baada ya kufanya utafiti wangu mwenyewe, nimehitimisha kuwa Jana mmejazwa tu upepo na sasa mmeanza kuutoa kama gesi ya tumboni.
Mmepata furaha na faraja ya muda mfupi and now it’s back to life, back to reality.
Happy Sunday ✌️.
Si umesema hapo Kuna wanajeshi ni washikaji wa Tundu lisu nikikuuliza uthibitishe hili huweziTatizo chadema ishaji save kwenye akili yako. umeona nimesema maandamano ya chadema hapo?
Hakuna tofauti yoyote. Unafikiri kwa kiwango hiki tulichofikia cha ufisadi, wizi wa mali na rasilimali za umma, mauaji, utekaji kuna tofauti gani kati ya utawala huu na utawala wa kijeshi?Kama utawala wa saizi unaona ni mbaya hasa kwenye mawazo mbadala - utawala wa kijeshi utakuwa mbaya zaidi mara elfu - ndiyo maana Burkina fasso wamejitoa hadi ICC, uandhani kwanini? Wabagaze watu waeezavyo.
Mimi kwangu utawala wa kiraia wa hovyo hovyo ni bora kuliko utawala wa kijeshi
Kuishi ughaibuni kusafisha vinyeo vya vizee vya kizungu wanajiona maisha wameuapatia kila kitu cha nyumbani wanaponda tu.Kuna kitu nimegundua kwenye huu uzi. Kuna synducate. Kuna kuzazi fulani hivi cha jf ambacho kinaishi nje, kinapenda kuona hali za watanzania wenzao katika unyonge kila leo. Kizazi hiki kinaisho nje ya TZ kwa hali ya ukiwa na upweke mwingi. Wakichungulia Tanzania wanaona kuna fukuto na wanapenda kuona hali za sintofahamu zikiendelea. Hawataki kusikia kuna jambo la heri, hata kwa imani tu. Kila jambo wanapinga kwa kejeli.
Chunguza wachangiaji wa mada hii wanaomuunga mleta mada utabaini hilo. Kama mmeshindwa kuishi ulaya na hamuwezi kurudi Tz, tuachieni struggle zetu, aidha ziwe real or utopia. Revolution zozote zilianza kwa chokochoko kama hizi, hivyo kuja hapa na kuanza kukejeli inainyesha kiasi ulivyo desperate. Sadists nyie!
Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.
Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.
Watanzania nawajua vizuri mno.
Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia wengine.
Wote ni makondoo tu. Nyumbu pia wapo.
Kwa aina ya wananchi waliopo hivi sasa, hakuna mtu atayethubutu kuipindua serikali ya CCM.
Kuandamana tu kunawashinda. Kugoma kupiga kura nako kunawashinda.
Mapinduzi ndo mtayaweza nyinyi?
Baada ya kufanya utafiti wangu mwenyewe, nimehitimisha kuwa Jana mmejazwa tu upepo na sasa mmeanza kuutoa kama gesi ya tumboni.
Mmepata furaha na faraja ya muda mfupi and now it’s back to life, back to reality.
Happy Sunday ✌️.
Li Magonjwa Mtambuka limelikeVijana hapa JF, ni wa kuhurumia. Kama ulimsikiliza huyo so called Captein alikuwa anasoma na anatetemeka
Diaspora asilimia kubwa ni hopeless kubwa sanaNyie mlio mbali
Nyie mnaohadithiwa kuhusu hali ya sasa ya maisha ya mtanzania, tunaomba msiwe washauri wetu.
Maana hata mnaowasiliana nao na kupata taarifa kuhusu hali ya huku inawezekana ni watu wenye level ya kati au ya juu kiuchumi au ni wale wanaojiona high class watu wa aina hiyo ni ngumu sana kupata taarifa halisia kutoka kwao.
Nchi haijatulia.
Viongozi wa sasa hawakubaliki.
Kuna uwezekano lolote linaweza kutokea.
Mitaani kumejaa lawama na manung'uniko.
Pia mitaani hali ya uchumi ni mbaya sana.
Ubabe na rushwa imekuwa mbinu rahisi ya uongozi.
Raia wamekata tamaa, na hakuna kiongozi anaejali hilo.
Lolote linaweza kutokea hali si shwari km jana na juzi.
Hahaha Mr presidentDiaspora asilimia kubwa ni hopeless kubwa sana
Mtu aliyejificha kwenye jina bandia anamlaumu mtu aliyeamua kujitoa MuhangaVijana hapa JF, ni wa kuhurumia. Kama ulimsikiliza huyo so called Captein alikuwa anasoma na anatetemeka
Wewe umemsikiliza captain Tesha kweli? Mbona alisema hilo si chini ya mara2?Si umesema hapo Kuna wanajeshi ni washikaji wa Tundu lisu nikikuuliza uthibitishe hili huwezi
Ndiyinmaana tunasema - watanzani hatufuatilii, tunajaa mhemko.Hakuna tofauti yoyote. Unafikiri kwa kiwango hiki tulichofikia cha ufisadi, wizi wa mali na rasilimali za umma, mauaji, utekaji kuna tofauti gani kati ya utawala huu na utawala wa kijeshi?
Ni bora wanajeshi wanaojitambua na kulinda maslahi na rasilimali za nchi kuliko hili genge linalolinda maslahi ya familia chache,wengine wote wakituona kama watumwa, vijakazi wao tulipe kodi wazitumbue hovyo.