GE2025 ‘Kapteni Tesha’ kawapa matumaini hewa

GE2025 ‘Kapteni Tesha’ kawapa matumaini hewa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwanini mnamtambulisha kama " so called"?

Kuhusu kupiga kura turnover ni ndogo mno, CCM inachofanya ni kuweka rekodi ionekane watu wamepiga kura! Watafanya hivi mpaka lini? Watanzania ukondoo unapungua siku kwa siku. Wait and see ni kwa vipi Samia ataweza kutawala katika Hali ya kukataliwa na makundi mengi nchini.
 
Polepole kila siku anarudi tena, gwajima hivyohivyo na sijui alipotelea wapi🙆‍♂️ Ila hakuna cha maana kinafanyika.

Wote watachoka "kurudi tena" maana watanzania hata sio wa kuhangaika nao. Nawashangaa hata wanaojisumbua😪
Watanzania wengi hawako tayari Kwa mabadiliko, bado tumejaa ujinga ujinga mwingi
 
Watanzania ni watu tuliojaa mhemko na ulimbukeni fulani hivi, ni watu wa msimu.. ndiyo maana hata kikombe cha Babu kilipata vibes sana. Tides zikibadilika na mambo yanabadilika kabisa.

Kwanza mwa jeshi ketu lilivyo structured ni ngumu sana - tena sana ku engineer a serious challenge ya mapinduzi ya kijeshi.
🙌
 
Most Tanzanians are so desperate for something, anything.

Gwajima, Polepole, Captain Tesha.

Give them anything, they will bite.

And when you show them obvious contradictions that shows their pipe dreams, they will tell you off.

I already see the cheap ad hominem attacks flinged at you for simply pointing out facts.

Just because you refuse to entertain some ruse, emotional, non strategic rant.

Most people are so ready to get euphoric emotionally without any logical or strategic thinking.

Sometimes I think it is a coping mechanism, to cling to anything hopeful in a sea of hopelessness.

To a point where I ask myself, is it ethical to expose the holes in this hopeful disposition?
Nyie mlio mbali
Nyie mnaohadithiwa kuhusu hali ya sasa ya maisha ya mtanzania, tunaomba msiwe washauri wetu.

Maana hata mnaowasiliana nao na kupata taarifa kuhusu hali ya huku inawezekana ni watu wenye level ya kati au ya juu kiuchumi au ni wale wanaojiona high class watu wa aina hiyo ni ngumu sana kupata taarifa halisia kutoka kwao.

Nchi haijatulia.

Viongozi wa sasa hawakubaliki.
Kuna uwezekano lolote linaweza kutokea.

Mitaani kumejaa lawama na manung'uniko.
Pia mitaani hali ya uchumi ni mbaya sana.

Ubabe na rushwa imekuwa mbinu rahisi ya uongozi.

Raia wamekata tamaa, na hakuna kiongozi anaejali hilo.

Lolote linaweza kutokea hali si shwari km jana na juzi.
 
Hii ndiyo changamoto ya baadhi ya wanachama wa JF wanataka siku zote waonekane kama wao pekee ndiyo kitovu cha ukombozi. Hali kama hii imekuwa ikiwagharimu hata wanasiasa wa upinzani, ambao nao mara nyingi wanataka waonekane kama mashujaa wakuu wa ukombozi wa taifa hili. Lakini pindi anapojitokeza mtu tofauti nao, wanaanza kusema eti 'huyu hatufai' au 'sio mwenzetu', badala ya kuangalia dhamira na mchango wake. Ukweli ni kwamba Tanzania ni ya kila Mtanzania, na kila mmoja ana haki ya kupigania nchi yake kwa namna anavyoona inafaa, mradi tu lengo ni kuhakikisha taifa letu linarejea mikononi mwa wananchi hilo ndilo jambo la msingi.
Hii ni point muhimu ndio imetuchelewesha hadi leo, watu wanajigawanya wenyewe kabla hata kugawanywa na wahuni.

Nchi hii itakombelewa pale tu Watanzania wote wana CCM, vyama vingine, wasio na vyama, itikadi zote, dini zote watakaposhirikiana pamoja kuwaondoa wahuni.
 
Hata Captain asingekuwapo - hata CDM wasingesema No reforms - wananchi kama wameamua ni wameamua tu.

So kwa sasa CCM mtandao wasali usiku na mchana wasitoke, kama wakitoka ni kwishaaa!!
 
Sio hivyo tu mkuu,

Tanzania bado tuna matatizo ya kawaida na wanaharakati wanashindwa kuelewa hali halisi.

Mfano eti Simiyu - fisi wenye hereni ndiyo tatizo kubwa linalokusanya umma - unadhani huyo mtu utamwambia aandamane kupinga serikali?

Siku ile High Court - wafuasi wa CDM wakati wanapigwa halafu kuna watu wanapita barabarani kwenye bajaji na maisha yanaendelea..

Heche kakamatwa Kariakoo (eneo lenye watu wengi) na maisha yanaendelea...

Hata Capt. Tesha kwa kusema aliyosema ni dhahiri watamfuta jeshu wake, then what? (Ataweza kwenda msituni?)- angekuwa anajua mapinduzi yanawezekana hata asingepiga kelele, saahizi angekuwa Ikulu tayari..
Hakika mkuu! Tanzania Kwa mabadiliko au machafuko bado Sana.
Fikiria Lissu kipindi chote Yuko ndani, kama kweli watanzania wanahitaji mabadiliko na machafuko wanayaweza, wamefanya Nini?
Watu wanaendelea na maisha Yao kama hakuna chochote kilichotokea!
Wanaishia kusema tu Lissu ameishika serikali pabaya, ameishika pabaya kivipi wakati yuko ndani?
Hata huyu Tesha anawezakuwa na mawazo mazuri lakini Kwa Tanzania ya Sasa linaweza likamkuta jambo na hakuna wa kumtetea au kumsaidia.
 
Most Tanzanians are so desperate for something, anything.

Gwajima, Polepole, Captain Tesha.

Give them anything, they will bite.

And when you show them obvious contradictions that shows their pipe dreams, they will tell you off.

I already see the cheap ad hominem attacks flinged at you for simply pointing out facts.

Just because you refuse to entertain some ruse, emotional, non strategic rant.

Most people are so ready to get euphoric emotionally without any logical or strategic thinking.

Sometimes I think it is a coping mechanism, to cling to anything hopeful in a sea of hopelessness.

To a point where I ask myself, is it ethical to expose the holes in this hopeful disposition?
Diaspora wakibongo msaada pekee mlionao ni hiki kingereza kisicho na msingi.
 
Most Tanzanians are so desperate for something, anything.

Gwajima, Polepole, Captain Tesha.

Give them anything, they will bite.

And when you show them obvious contradictions that shows their pipe dreams, they will tell you off.

I already see the cheap ad hominem attacks flinged at you for simply pointing out facts.

Just because you refuse to entertain some ruse, emotional, non strategic rant.

Most people are so ready to get euphoric emotionally without any logical or strategic thinking.

Sometimes I think it is a coping mechanism, to cling to anything hopeful in a sea of hopelessness.

To a point where I ask myself, is it ethical to expose the holes in this hopeful disposition?

How and why do you call that a fact? Where is the evidence? What she's saying is full of contradictions, not factsmanenobya ngabu hayawezi KUWA fact uthibutisho ni nini hapo KWENYE point zake wakati huyo anaedaiwa kuwajaza upepo hajathibitishwa kama yumo au hayumo jeshini.

Unawezaje ibuka jeshini uingee MANENO ya HIVYo na jeshi lisikupinge wewe na kuchukua hatua. Let's say wamechukua hatua je kkimya kimya?
 
True. Ila kama Watawala wana akili waangslie ni jinsi gani Wananchi wameipokea hii hotuba ya Captain Tesha.
Umri unachekeshaga, maana ukiwa mtoto, ukaumwa unadhani dunia yote inaumwa. Nakuhakikishia ni watu wachache wameisikiliza. Na wanaoshangilia na kusangilia ni vijana wachache sana
 
Umekariri sana kuwa Kila siku ni jumapili nikuwahi Misa ya saa12 au saa2 ama saa3. Usikariri kuna siku misaa inakuwa saa5 ya jumla!! Na hata siku ya jtano vilevile watu wanakominika kama kawaida.

Namna ilivyo tu maandamano yatafanyika tena kwa Hari ya ajabu kuliko hata ilivyodhaniwa.

Hata police wanawindana ataye muua mwenziwe kugeukwa na kuwekwa shaba ni jambo la kutegemewa!

Unataka kunambia kuna maaskari hawana ndg umasaini?

Kuna askari ndg zao hawajatekwa?

Kuna askari hawana ujamaa na ushikaji kabisa na lissu?

Mnajidanganya pakubwa sana
Kwahiyo unataka kutuaminisha yatakuwa ni maandamano ya chadema
 
Back
Top Bottom