GE2025 ‘Kapteni Tesha’ kawapa matumaini hewa

GE2025 ‘Kapteni Tesha’ kawapa matumaini hewa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.

Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.

Watanzania nawajua vizuri mno.

Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia wengine.

Wote ni makondoo tu. Nyumbu pia wapo.

Kwa aina ya wananchi waliopo hivi sasa, hakuna mtu atayethubutu kuipindua serikali ya CCM.

Kuandamana tu kunawashinda. Kugoma kupiga kura nako kunawashinda.

Mapinduzi ndo mtayaweza nyinyi?

Baada ya kufanya utafiti wangu mwenyewe, nimehitimisha kuwa Jana mmejazwa tu upepo na sasa mmeanza kuutoa kama gesi ya tumboni.

Mmepata furaha na faraja ya muda mfupi and now it’s back to life, back to reality.

Happy Sunday ✌️.
Acha blah blah. Sijawapa matumaini hewa, nasubiri majibu ya CDF kabla ya kukiwasha.
 
Issue ni kuwa awareness inazidi kuwa kubwa, it means hata jeshi hata kama wanagoma tayari wanaelewa mioyoni mwao, mpaka barua imeandikwa watu wametafakari- wamediscuss ujumbe, 2 kati ya 10 watakuwa kwa wananchi tu, ni ushindi mkubwa.Taratibu tu
 
Most Tanzanians are so desperate for something, anything.

Gwajima, Polepole, Captain Tesha.

Give them anything, they will bite.

And when you show them obvious contradictions that shows their pipe dreams, they will tell you off.

I already see the cheap ad hominem attacks flinged at you for simply pointing out facts.

Just because you refuse to entertain some ruse, emotional, non strategic rant.

Most people are so ready to get euphoric emotionally without any logical or strategic thinking.

Sometimes I think it is a coping mechanism, to cling to anything hopeful in a sea of hopelessness.

To a point where I ask myself, is it ethical to expose the holes in this hopeful disposition?
Nyie mkoa nje si muendelee kumuongelea Trump tuachieni ya Tanzania tudeal nayo
 
Watu wanashabikia tu..alikuwepo JPM..watu walilia..kijeshi sijui wataliaje
Unfortunately watawala kwa kiburi cha hali ya juu wamewafanya wananchi wakose imani na mifumo ya kidemokrasia ya kubadili uongozi. Imagine, mihimili yote yaani bunge na mahakama inanekana kucollude na watawala dhidi ya wananchi, ktk mazingira hayo wananchi wanajihisi hopeless na wanaweza kumuunga mkono mtu yeyote atakayewapromise change
 
Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.

Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.

Watanzania nawajua vizuri mno.

Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia wengine.

Wote ni makondoo tu. Nyumbu pia wapo.

Kwa aina ya wananchi waliopo hivi sasa, hakuna mtu atayethubutu kuipindua serikali ya CCM.

Kuandamana tu kunawashinda. Kugoma kupiga kura nako kunawashinda.

Mapinduzi ndo mtayaweza nyinyi?

Baada ya kufanya utafiti wangu mwenyewe, nimehitimisha kuwa Jana mmejazwa tu upepo na sasa mmeanza kuutoa kama gesi ya tumboni.

Mmepata furaha na faraja ya muda mfupi and now it’s back to life, back to reality.

Happy Sunday ✌️.
Kuna namna fulani hivi, baadhi ya watu walikuwa na ndoto ya kuona Tanzania yenye maendeleo makubwa sana, na walikosoa vikali kila aina ya watu waliokuwa na nia mbovu dhidi ya taifa. Wengi wao walizaliwa katika familia za watawala, viongozi wakuu, na familia za kifalme. Ndiyo, walitamani kuona Tanzania mpya, lakini sasa wanapoona kile walichokitamani kikianza kutimia, wanaanza kujawa na hofu. Hawawezi kuona Tanzania bila ya CCM; wanajiuliza nini kitatokea kwa familia zao na koo zao. Hofu imejaa mioyoni mwao kwa sababu zama zimebadilika. Tunahitaji kujifunza kusoma nyakati, na kuzingatia mabadiliko yanayoendelea. Tanzania ilianza kubadilika tangu kipindi cha Magufuli na inabadilika kwa faida ya wote. Hakuna kurudi nyuma sasa, tusubiri mabadiliko zaidi, kwani kila kitu kinaweza kutokea wakati huu tunapoendelea mbele.
 
We are patiently waiting for the date
 
Most Tanzanians are so desperate for something, anything.

Gwajima, Polepole, Captain Tesha.

Give them anything, they will bite.

And when you show them obvious contradictions that shows their pipe dreams, they will tell you off.

I already see the cheap ad hominem attacks flinged at you for simply pointing out facts.

Just because you refuse to entertain some ruse, emotional, non strategic rant.

Most people are so ready to get euphoric emotionally without any logical or strategic thinking.

Sometimes I think it is a coping mechanism, to cling to anything hopeful in a sea of hopelessness.

To a point where I ask myself, is it ethical to expose the holes in this hopeful disposition?
Unaongea haya ukiwa umejifungia katika nchi za wengine kama mkimbizi.Vyovyote vile utakavyowaita, waache Watanzania wapiganie nchi yao kwa njia wanazoziona sawa, kwani wewe si sehemu yao tena.

Siku hizi umejaa hofu kama mbwa mzee, ulikuwa mtu ambaye alitaka kuona Tanzania mpya, lakini sasa hupendi jinsi mchakato wa kuipata unavyoendelea.

Huna msaada wowote katika nchi ambayo hata huikuitaji tena. Watanzania hawako na tamaa ya kitu chochote, bali wanahitaji kitu kimoja, na hicho kitu kitatimia hivi karibuni.

Huna mamlaka ya kuamua kwa niaba yao, kwani wewe si mmoja wao tena.
 
Wazalendo wa kweli tuna imani na Captain Tesha
IMG-20251005-WA0000.jpg
 
Vijana hapa JF, ni wa kuhurumia. Kama ulimsikiliza huyo so called Captein alikuwa anasoma na anatetemeka
Wewe pekee Ako ndio umemuona anasoma anatetemeka ??

Mbona Mimi sijaona anatetemeka?.

Jambo Moja nalotaka ufaham.

Alichokifanya TESHA, unajua Adhabu yake Kijeshi?? Unajua Watekaji wanamchikuliaje ??.

Sasa kama ni hivo , unajua Akina Tesha wako wangapi??

Unadhan wao watabaki Mikono juu ili muwakamate, muwafunge au kuwaua ??.

Ni Risasi tu ni ama nyinyi au Sisi , hamna suluhisho jingine !!.
 
Mbona unahangaika sana kwa kuleta hadithi ambaxo hazina content? Bila shaka nawe umeguswa na wanamtamdao.

Kwa sasa acha tamthilia, utulie ili siku moja ulete mambo halisia kuliko hadithi za kichwani mwako.
 
Mbona kama umepanic
Hii ndiyo changamoto ya baadhi ya wanachama wa JF wanataka siku zote waonekane kama wao pekee ndiyo kitovu cha ukombozi.

Hali kama hii imekuwa ikiwagharimu hata wanasiasa wa upinzani, ambao nao mara nyingi wanataka waonekane kama mashujaa wakuu wa ukombozi wa taifa hili.

Lakini pindi anapojitokeza mtu tofauti nao, wanaanza kusema eti 'huyu hatufai' au 'sio mwenzetu', badala ya kuangalia dhamira na mchango wake. Ukweli ni kwamba Tanzania ni ya kila Mtanzania, na kila mmoja ana haki ya kupigania nchi yake kwa namna anavyoona inafaa, mradi tu lengo ni kuhakikisha taifa letu linarejea mikononi mwa wananchi hilo ndilo jambo la msingi.
 
Back
Top Bottom