GE2025 ‘Kapteni Tesha’ kawapa matumaini hewa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mkuu inaonekana we ni aina ya watu wakung'ata na kupuliza, huku haupo wala kule haupo. Ni aina ya watu wabaya sana kwa kifupi hueleweki upo upande gani.
 
Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.

Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.

Watanzania nawajua vizuri mno.

Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia wengine.

Wote ni makondoo tu. Nyumbu pia wapo.

Kwa aina ya wananchi waliopo hivi sasa, hakuna mtu atayethubutu kuipindua serikali ya CCM.

Kuandamana tu kunawashinda. Kugoma kupiga kura nako kunawashinda.

Mapinduzi ndo mtayaweza nyinyi?

Baada ya kufanya utafiti wangu mwenyewe, nimehitimisha kuwa Jana mmejazwa tu upepo na sasa mmeanza kuutoa kama gesi ya tumboni.

Mmepata furaha na faraja ya muda mfupi and now it’s back to life, back to reality.

Happy Sunday ✌️.
Sio hewa ,just wait.....
Too late
Too late....
 
Unanikumbusha zama zile Obama Vs McCain uliposhupasha shingo kuwa Obama hashindi. In life anything possible. WaTanganyika ni watu sema tu hawajathubutu ikifika climax basi watafanya.
 
Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu.

Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM.

Watanzania nawajua vizuri mno.

Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia wengine.

Wote ni makondoo tu. Nyumbu pia wapo.

Kwa aina ya wananchi waliopo hivi sasa, hakuna mtu atayethubutu kuipindua serikali ya CCM.

Kuandamana tu kunawashinda. Kugoma kupiga kura nako kunawashinda.

Mapinduzi ndo mtayaweza nyinyi?

Baada ya kufanya utafiti wangu mwenyewe, nimehitimisha kuwa Jana mmejazwa tu upepo na sasa mmeanza kuutoa kama gesi ya tumboni.

Mmepata furaha na faraja ya muda mfupi and now it’s back to life, back to reality.

Happy Sunday ✌️.
Unaandika haya ukiwa wapi?
 
Hii ndiyo changamoto ya baadhi ya wanachama wa JF wanataka siku zote waonekane kama wao pekee ndiyo kitovu cha ukombozi. Hali kama hii imekuwa ikiwagharimu hata wanasiasa wa upinzani, ambao nao mara nyingi wanataka waonekane kama mashujaa wakuu wa ukombozi wa taifa hili. Lakini pindi anapojitokeza mtu tofauti nao, wanaanza kusema eti 'huyu hatufai' au 'sio mwenzetu', badala ya kuangalia dhamira na mchango wake. Ukweli ni kwamba Tanzania ni ya kila Mtanzania, na kila mmoja ana haki ya kupigania nchi yake kwa namna anavyoona inafaa, mradi tu lengo ni kuhakikisha taifa letu linarejea mikononi mwa wananchi hilo ndilo jambo la msingi.

Wanajifanya wana busara nyiiingi, na maandishi yao marefu marefu kama mafarisayo na waandishi wanafiki. Wakitokea watu genuine wakajiweka on the line kutetea nchi hawa jamaa wanaanza kuja na vijembe na negativity kibao.
 
Back
Top Bottom