Kapten John Komba: Lowassa anafaa kuwa Rais 2015

Kapten John Komba: Lowassa anafaa kuwa Rais 2015

KOMBA TANGU ALIPOKULA hela za TOT NA KUFILISI HADI MAGITAA YA BENDI NIMEMDHARAU KABISA ! SWALI LA KIZUSHI , KWANINI UMEMPELEKEA COPY YA UZI HUU PASCO ? AU NAYE NI MHANGA WA MISHIKAKI NA POMBE ZA ASILI ?

Hivi ile shule yake ya Bakili Muluzi ilishapata mnunuzi?
 
njaa zitamuua.kwa hiyo amekua mgombea anayeungwa mkono na wabakaji wa mabinti wadogo,mafisadi,wezi,wanafiki,wauza unga na walevi?

Badala ya kujadili sera na ilani bora kuelekea 2015 anajadili pua za watu?

Captain gani asiyejua kufikiri sawa sawa?

mkuu , njaa ya kipato inaweza kumdhalilisha yeyote asiye na msimamo !
 
Njaa zitamuua.Kwa hiyo amekua mgombea anayeungwa mkono na wabakaji wa mabinti wadogo,mafisadi,wezi,wanafiki,wauza unga na walevi?

Badala ya kujadili sera na ilani bora kuelekea 2015 anajadili pua za watu?

Captain gani asiyejua kufikiri sawa sawa?

Sa nane hapa ndo huwa nakudharau nandio mana kila ciku mi naww tunatofautiana&!!cijui ni ujinga unakusumbua,naaanza kupata wasiwas na uelew wako,sasa naamin umeletwa humu jamvin kupinga kila anaye toa mawazo yako,na jana nilikuambia humu jamvin ww nadhn hii ndo kaz yako maalumu uliyopew.hv kila anayetoa wazo lake ww nikulidharau tu ina maana wew kila unacho kiandka ndio kiko sahhi,usituonyeshe ulivyo mtupu kichwan,aliyosema komba ni mawazo yake,na unapaswa kuhesnimu mawazo yake na kama unambishia tumia hoja.mimi binafs naamin kuwa lowassa ndiye anahefaa kuwa rais wa nchi hii 2015 .jirekebishe kaka wakat mwingne bora hata utumie id kuchangia kwasabu unazidd kujiweka uchi tu
 
CCM ni chama bora chenye uzoefu wa kutosha na sera makini. Tatizo ni wanachama wake karibu wote ni walafi, wabinafsi, wezi, wazinzi, wanafiki na wasiomcha Yehova.
 
Inaa mana ben tokea umejoin jf 2007 kila kitu ubishi tu,je kwa tathimini ya wengi unazungumziaje swala la lowassa kukubalika kwa walio wengi? Bila matusi wala kejeli

mkuu huyo beni ana shida kidogo!!ila usi mshangae manake ndo sera ya chadema ukiwa na mawazo tofauti ww ni msaliti,huy ben hakuna asichopinga hii iko waz kabs ndo kaz yake maalumu,nina wasiwas kama anayokaz inayomuingizia kipato tofaut na hii
 
Inaa mana ben tokea umejoin jf 2007 kila kitu ubishi tu,je kwa tathimini ya wengi unazungumziaje swala la lowassa kukubalika kwa walio wengi? Bila matusi wala kejeli

Umefanya wapi utafiti?Sipendi umbea
 
Maoni yake hayo me nadhani ulipenda atoe maoni unayoyapenda ww bt ww pia unajua how much lowasa ni tishio kwa chama chenu kwenye uchaguzi ujao

Ni tishio kwa chama chetu?Kwani kuna mkataba gani atakaosimamia wenye uhusiano na fedha za CHADEMA?Huyu anakua tishio anaposimamia mikataba kama ule wa RICHMOND
 
Hivi watu wote wangekuwa na mtazamo kama wako unadhani ingekuwaje?
Au Unadhani nchi ni yako kila mtu akubaliane na wewe?
Jifunzeni kuheshimu mawazo ya wengine japo yanauma,ndio maana mnashabikia sana watu kupigwa kule kwenu wakipingana tu na maboss wenu,

Mawazo ya kipuuzi ni utamaduni mbovu.Ukiendelea kuheshimu kila wazo hata mawazo yanayotetea mila potofu za uleketaji utayaheshimu sasa kwa sababu ni mawazo
 
Sa nane hapa ndo huwa nakudharau nandio mana kila ciku mi naww tunatofautiana&!!cijui ni ujinga unakusumbua,naaanza kupata wasiwas na uelew wako,sasa naamin umeletwa humu jamvin kupinga kila anaye toa mawazo yako,na jana nilikuambia humu jamvin ww nadhn hii ndo kaz yako maalumu uliyopew.hv kila anayetoa wazo lake ww nikulidharau tu ina maana wew kila unacho kiandka ndio kiko sahhi,usituonyeshe ulivyo mtupu kichwan,aliyosema komba ni mawazo yake,na unapaswa kuhesnimu mawazo yake na kama unambishia tumia hoja.mimi binafs naamin kuwa lowassa ndiye anahefaa kuwa rais wa nchi hii 2015 .jirekebishe kaka wakat mwingne bora hata utumie id kuchangia kwasabu unazidd kujiweka uchi tu

Kudharauliwa au kuheshimiwa na mtu mwenye fikra kama zako nitapata hasara au faida gani?Almost negligible

Huoni faida ya kujadili sera kuelekea 2015 .Unataka wote tukubaliane na upuuzi wa kujadili watu tena wenye kashfa za wizi wa mali za umma badala ya kujadili itikadi na sera zitakazodhibiti mianya na watu hawa waroho na hatari kwa ustawi wa taifa letu?
 
mkuu huyo beni ana shida kidogo!!ila usi mshangae manake ndo sera ya chadema ukiwa na mawazo tofauti ww ni msaliti,huy ben hakuna asichopinga hii iko waz kabs ndo kaz yake maalumu,nina wasiwas kama anayokaz inayomuingizia kipato tofaut na hii

Wakati unaponifuatilia nikipinga kila kitu wewe unakua ukifanya nini?Kwa kazi yako ya kunifuatilia sidhani kama una kazi nyingine ya kukuingizia kipato zaidi ya hii
 
Umefanya wapi utafiti?Sipendi umbea

Ben we ni mtu una sura nyingi sana,yaani kila anayetoa mtizamo wake ana njaa na amehongwa,inawezekana huna kazi inayokuingizia kipato kinachoeleweka na uwezo wa elimu uliyo nayo unanitia mashaka,kila kitu kwako we ni negative,hata mti wa muashoki upepo unapovuma una bend in either side,manake a wise man should always be flexible siyo kila kitu ubishi,usione kila aliye against you ana njaa ya kuhongwa,na wewe utuambie mda wote unaokuwa jf unafanya kazi saa ngapi ya kukuingizia kipato? Na wasiwasi siku jf wakipigwa ban wewe ni kati ya watu watakaoishi kwa shida sana
 
Mtakula ela zake bure na bado kura hapati. Mpeni ushauri, watanzania wa sasa hawasahau. Wanakumbuka alijiudhuru kwa kashifa ya Rushwa. Wanakumbuka yeye na jk hawajakutana barabani; kwa maana nyingine wawili wanajuana, wako tayari kufanyiana bihashara harari na haramu, kulindana,....

Pimeni upepo wa kisiasa na mmwambie maana ni kama haoni. Najua ninyi mnaona, ila njaa inawsumbua. Karne hii sikutegemea kuona vijana wanaoweza kusikiliza Komba amesema nini.....chanzo tu cha taarifa hiyo kinatoa picha.

Jitambue, fikirini nje ya box la mawazo mmlionayo...
 
Ni tishio kwa chama chetu?Kwani kuna mkataba gani atakaosimamia wenye uhusiano na fedha za CHADEMA?Huyu anakua tishio anaposimamia mikataba kama ule wa RICHMOND

Kuwa makini kaka isije tukasikia na ww makamanda wenzio wamekupiga tofali za kichwa nakukuta msaliti
 
Ndani ya ccm sasa hivi kila mtu anajiona anaweza kuwa Rais. Midomo yao imekosa breki hata kidogo, kila mtu ansema atakavyo pasipo woga. Sijui hiki chama kimepatwa na majanga gani? Ninahisi njaa zinawatesa wengi.
 
Sa nane hapa ndo huwa nakudharau nandio mana kila ciku mi naww tunatofautiana&!!cijui ni ujinga unakusumbua,naaanza kupata wasiwas na uelew wako,sasa naamin umeletwa humu jamvin kupinga kila anaye toa mawazo yako,na jana nilikuambia humu jamvin ww nadhn hii ndo kaz yako maalumu uliyopew.hv kila anayetoa wazo lake ww nikulidharau tu ina maana wew kila unacho kiandka ndio kiko sahhi,usituonyeshe ulivyo mtupu kichwan,aliyosema komba ni mawazo yake,na unapaswa kuhesnimu mawazo yake na kama unambishia tumia hoja.mimi binafs naamin kuwa lowassa ndiye anahefaa kuwa rais wa nchi hii 2015 .jirekebishe kaka wakat mwingne bora hata utumie id kuchangia kwasabu unazidd kujiweka uchi tu

Tatizo na wewe unadhani jf ni bunge la wanaosema ndiyo wameshinda na kifungu kimeafikiwa
 
Kudharauliwa au kuheshimiwa na mtu mwenye fikra kama zako nitapata hasara au faida gani?Almost negligible

Huoni faida ya kujadili sera kuelekea 2015 .Unataka wote tukubaliane na upuuzi wa kujadili watu tena wenye kashfa za wizi wa mali za umma badala ya kujadili itikadi na sera zitakazodhibiti mianya na watu hawa waroho na hatari kwa ustawi wa taifa letu?

mkuu kwanza labda nikuambie tu ukubali ukatae,watu wakigoma na wtz wanatambuw ww ndo adui namba moja wa zitto zuberi,hiz fitna zote za kuchafuliwa kwa zitto kwny mitandao yakijamii ww ben sa nane ndo unayeongoza kundi hilo na hili unalifnya kwa makusudi kabsa kwaajili ya kumridhisha mbowe na babu yenu huyo dr slaa.Na hili umelifnya makusudi baada ya lile jaribio la kumwekea sumu kwenye chakula kushindwa!na hata hapo sahv najuw sahv umejiandaa ni jinsi utahakikisha unamtenganisha mwigamba na roho yake,usifikir tz ni ile ya zaman,yote haya yako waz
 
hila amenifurahisha kukiri kuwa cc kuna kila aina ya watu hadi mataahira.

Mkuu wewe ulitarajia nini? kama unavua samaki kwa kokoro tarajia kukuta kila aina ya takataka kazi inakuwa kwako kuchagua CCM kwa sasa ni kama KOKORO ambalo linanasa samaki mazalia yake na kila takataka inayokutana nayo majini . sisemi kwa ubaya au kukashfu ila ni mfano kuonyesha uhalisia wa hali ilivyo kwa sasa.
 
Ajifunze kuangalia upepo,akaulize mkuu mmoja alikuwa mkuu wa mkoa morogoro 2005 alimsaport mgombea mmoja hadharan,matokeo yake jk akapita,tangia hapo huyo jamaa hakusikika tena ktk medan za kisiasa
 
Akisimamishwa huyo EL CDM njia Itakuwa wasi kuzama Magogoni, wakosee waone!!
 
Back
Top Bottom